Nyumba ya familia moja huko mtaa wa ugombolwa Kata ya Segerea ikiwa inateketea kwa moto usiku huu mara baada ya Baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mmoja na kuamua kuichoma moto nyumba hiyo sababu ya wivu wa mapenzi.
Nyumba ikiendelea kuteketea kwa moto mkali
Kwa moto huu hakuna kilichoweza kuokolewa mpaka sasa
Baadhi ya Wakazi wa Mtaa wa Ugombolwa, Kata ya Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Dar wakishuhudia nyumba hiyo ikiteketea kwa moto.
Segerea, Dar Es Salaam, Nyumba moja iliyopo Mtaa Ugombolwa Kata ya segerea Jijini Dar imeteketea kwa moto mara baada ya baba wa familia ya nyumba hiyo kuhisi kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine.
Hali hiyo imetokea usiku huu majira ya Saa tano Kasoro usiku katika Mtaa wa Ugombolwa, Kata ya Segerea, Wilaya ya Ilala Jijini Dar Es Salaam ambapo inasemekana baba wa familia hiyo alichukua uamuzi huo mara baada ya kusikia kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine nje na mara baada ya kutokuelewa kwao ndipo alipochukua uamuzi huo wa kuitia moto nyumba hiyo.
Mmoja wa shuhuda alisikika akisema kuwa "Hawa Wachaga wana matatizo sana Ebu Ona Sasa mwanaume Mzima Anateketeza Nyumba yake aliyoijenga kwa mamilioni ya Shilingi kisa Mkewe anatembea nje ya ndoa Sasa ona watoto wake wataishi wapi?..watu wengine ni wajinga sana Kama mwanamke anatembea nje ya ndoa si umpe talaka tu" alisikika akiongea Shuhuda huyo
Mpaka Mtandao huu unaondoka eneo la tukio nyumba hiyo ilikuwa bado ikiteketea kwa moto na hakuna dalili zozote zile zilizokuwa zikichukuliwa kwaajili ya kupambana na moto huo huku ikiwa haijafahamika kama wakati nyumba hiyo ikitiwa kiberiti familia ya huyo baba ilikuwepo ndani ya nyumba au laah huku ikikadiriwa kuwa mali zote zilizomo ndani ya nyumba hiyo zimeteketea kwa moto kwani mpaka tunaondoka hakuna kikosi cha zimamoto kilichofik eneo la tukio wala majirani hawakuonyesha dalili zozote zile za kuuzima mot huo.
Mpaka tunaondoka eneo la tukio hakuna taarifa yoyote ile ya majeruhi wala watu kupoteza maisha katika ajali hiyo ya moto.
Anawazimu huyo baba si bure... Kama mke hakutaki tena siunamuacha tu! Mapenzi gani hayo yakijinga sasa anaye pata hasara ni nani?
ReplyDeleteHilo libaba vipi, mbona kutoka nje ya ndoa ndo habari ya mjini, ye angemuacha tu! Lool watoto wataenda wapi
ReplyDeletesi bora hata ungenipa Mimi hiyo nyumba jingaaa
ReplyDeleteDu akili nyingine bwana huu ni ujinga uliopitiliza
ReplyDeleteWazee wa zamani walisema kuchapiwa ni siri ya ndani, wanaume na wanawake kwenye ndoa mjue 95% ya wanandoa wanachapwa au kuchapa nje ya ndoa, so kuweni wapole tu.
ReplyDeleteHUYO DNG ANGE MTAFUTA MKE WAHUYO JAMAA NAYE AKAWA ANATEMBEANAYE KULKO KUCHOMA NYUMBA
ReplyDeleteAtalala hotel na sijui nani atataka mpangaji mwehu kama huyu mtu amepiga kiberiti nyumba yake mwenyewe ataacha za wengine salama?! Hata hoteli asikodishwe juu atahatarisha maisha ya wengine akalale porini tu au arushwe milembe tu
ReplyDeleteNipatamu paleee jamanii
ReplyDeleteachatuu kuma tamu sana kwa unae mpenda.
Chezea mbunye wewe watachoma sana na kuua sana maana wanawake tumeamka full mabuzi.
ReplyDeleteBwegeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletekhaaaaaaaaa akili matope? majuto mjukuu hasira zikiisha utajuta. bora ungegawa hata kwa watoto yatima lol
ReplyDeletewivu gani huo jamani?haya sasa majanga!yaani nichome house kisa mke anajirusha nje aawapi bado sana!!!.
ReplyDeleteWachaga mnaboa.
ReplyDeleteMajanga!
ReplyDeleteMmmmmmh Wachaga nao, x kupgana bastola x hv x vile, aisee Mangiii nimekukubali
ReplyDeleteAjabuu mangi anathamini kuma kuliko pesa!
ReplyDeleteWachaga wa siku hzi wamebadilika aise wanapenda sana, ila wana maamuzi ya kijinga
DeleteMangi ulijenga kwenye kiwanja cha mkeo nini? Kujenga kwenye kuwanja cha mwanamke nisawa nakujenga kwenye hifadhi ya barabara
ReplyDeleteinawezekana arifu, hawa jamaa wana uchungu na mali hawezi choma kizembe hvyo
DeletePesa ya wizi haina thamani....
ReplyDeletealikuibia?nyie ndo walewale wenye wivu na mali za watu
Deletena kweli naungana na mchangiaji wa hapo juu hela ya wizi na ya dhuluma haikai na wala hasaidii ni rahisi kuja na rahisi kuondoka hiyo hela iliyojenga hiyo nyumba ni hela ya zuluma maana ingekuwa ametafuta kwa jasho lake hakika asingechoma
ReplyDelete