MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemvaa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na kusema kamwe chama hicho hakiwezi kuvumilia usaliti wa aina yoyote.
Akizungumza mjini hapa jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Malimbe, alisema kwa namna yoyote ile hawatamfumbia macho mtu yeyote anayekwenda kinyume cha katiba na taratibu za chama hicho.
Alisema Chadema ambayo imejengwa kwa damu za Watanzania haiwezi kukubali kuona mtu yeyote anatoboa ‘boti’ yake iendayo kasi katikati ya bahari wakati huu wa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwakani.
Mbali na kumshukia Zitto pia amekirushia kombora Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kusema kinatumia mbinu chafu kutaka kuiua Chadema kabla ya mwaka 2015.
Alisema kamwe mbinu hizo hazitafanikiwa maana Chadema ipo kwa mpango wa Mungu.
Ingawa Mbowe hakumtaja Zitto kwa jina lakini hotuba hiyo ilionekana dhahiri kumlenga Zitto, Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba waliovuliwa nyadhifa zao zote za uongozi ndani ya chama hicho hivi karibuni.
“Tumejenga chama makini, tumaini la Watanzania, kwa hiyo hatuwezi kumfumbia mtu au watu macho pale anapokwenda kinyume na misingi ya chama.
“Yaani mpo safarini ndani ya bahari au ziwa, halafu mnafika katikati mtu au watu wanaanza kubotoa boti yetu, hivi huyo mtu tutamuacha hivi hivi? Mkimuacha lazima mzame, kwa hiyo lazima huyo msaliti mumshughulikie,” alisema Mbowe.
Alisema chama hicho hakitishiki wala kubabaishwa na propaganda na njia pandikizi zinazofanywa kwa kuandamana na mabango kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema uliofikiwa hivi karibuni na kitaendelea na wembe ule ule wa kuwanyoa wasaliti ndani ya chama hicho.
Alisema yeye au Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, wapo tayari kuvuliwa nyadhifa zao ikiwa ni pamoja na kufukuzwa uanachama pale watakapobainika kuanza kuingiza hujuma kwa lengo la kutaka kukiua chama.
“Bahati mbaya Mbowe sinunuliki. Fedha sina na sina njaa lakini sinunuliki na nzuri zaidi Katibu wetu wa Chadema, Dk. Slaa, naye hanunuliki na CCM wanalijua hili,” alisema.
Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro alisema kuongoza chama kikubwa cha upinzani kama hicho ni kazi kubwa na haihitajiki majaribio na aliwaomba wanachama wenye mtazamo thabiti na chama hicho wajitokeze kugombea nafasi yoyote.
Kuhusu CCM na Serikali yake alisema imekuwa ikiwalisha upepo wananchi masikini kwa kuwadanganya na ndani ya Bunge Serikali imekuwa haiwaelezi uhalisia wa mambo wananchi wake badala yake inawahadaa kwa kutoa matamko ya kuwapumbaza wananchi.
Alisema chama hicho kimejizatiti vema katika safari ya kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu na safari ya kwenda Ikulu ipo pale pale.
tushachoka na haya marumbano hebu fanyeni kazi ebo
ReplyDeletewewe kama umechoka si ukae kimya au kihereher ndo kinakusumbua, kama umechoka kaa pembeni
ReplyDeleteMbowe nenda shule kasome.
ReplyDeleteACHA USENGE WE UMESOMA ?HATA KAMA UMESOMA UNASAIDIA NN TAIFA?
ReplyDeletenyote mafala mmacoment ujinga
ReplyDeletehuyo jamaa ni msenge akasome yy mana anadanganywa na ccm hata hana mloo wa jion na mchanaaa....hana msaada ktk taifa tupa kule ccm
ReplyDeletekwan chadema inawapa mlo wa mchana na usiku fala wewe
DeleteKuma lala mama yako kwani CHADEMA watakupa chakula kwanza nyie wadin hicho ni chama cha wakristo tu wasenge nyie!!
ReplyDelete
DeleteTARATIBU WEWE. UNAJUA HAPO UMEMTUSI MAMA YAKO MZAZI!!? MASKINI SIJUI KOSA LAKE KUKUZAA AU?
HUNA LUGHA YA KUELEWEKA MPAKA MUWATUSI MAMA ZENU MPUMBAVU KWELI HEBU KUWA NA ADABU
WE MSENGE KWEL UNATUKANA K WE ULTOKEA WAP?HATA KAMA UL ZALWA KWA OPERATN HYO N SHORT CUT 2 LAKN BADO UMEINGLIA KWENYE K
ReplyDeleteSawaa sawaa
Deletetatizo hamtaki kuambiwa ukweli watu wanaendelea na kazi sio hao chadema kila siku kwenye meedia kujibishana tushawachoka na chama chenu cha ukoo
ReplyDeleteElimu inasaidia xana we mambo yameisha kióngoz mzma bado unaendeleza porojo huko kote kutojiamin unamuogopa zto unafanya kampen za majungu ya wenyewe kw wenyewe mbona zto amecool 2.elimu muhm wajameni....
ReplyDeleteBabaako kasema? Mbona alikulea na elim yake akhera
DeleteMbowe c shoga
ReplyDeleteshoga ww msenge mkubwa ww chadema ndio mpango, go go mbowe,
ReplyDeleteduh
ReplyDeletehamjui mwaka 2015 ni karibu sana
ReplyDeletenamsipokuwa makini chma tutakizika muda si mrefu
ReplyDelete