Nelson Mandela’s memorial service saw a hundred presidents from around he globe head to South Africa to take part in this historical event. Among them was our president Uhuru Kenyatta who was well applauded by the crowd upon introduction.
Being a big event, many activities were taking place, paparazzi were on their toes to capture every moment, some of which have come in handy, like U.S.A’s first lady showing the ladies how to guard their men. Check out the step by step pictorial guide below:
ANGALIA HIZI PICHA CHINI MOJA BAADA YA MOJA ....ALAFU UNIAMBIE UMEELEWA NINI
7. Occupy your rightful position..
mmepwerewa. habari zishapitwa na wakati ndo mnazileta sasa. wazushi wakubwa. tupeni habari za Ufoo SARO ndio habari tulizo kuwa interested nazo
ReplyDeleteDooo, first lady is so bright like husband
ReplyDeletehicho kimama cha kizungu kilienda kuuza sura tu hata hakisikilizi hotuba anatext anajipiga picha mara kamganda Obama haya first lady kakatoa nishai kaone kalivyoona aibu
DeleteNyie mnatafsiri tu vibaya....huyu mwanamke ana akili sana, wako kwenye msiba lakini obama na huyo mama walijisahau kama wako kwenye sherehe.Mkewe aliingia kati yao ili wasiendelee na kelele zao...wasikilize kilichowapeleka hapo
ReplyDeletehiyo kitu aliyofanya Michelle inaitwa "cock block" lol
ReplyDeleteDA ILIKE IT JAMAN!&M WHEN IWLL GET MARRIAGE NTA MUIGA MICHELLE
ReplyDeleteDA ILIKE IT JAMAN!&M WHEN IWLL GET MARRIAGE NTA MUIGA MICHELLE
ReplyDeleteduhh. div 5 hyo
DeleteUmeona eeeh....very very broken english. WHEN I WILL GET MARRIAGE Duh hatari
DeleteCHEZEA MUME WEWE?
ReplyDeletehahahhhaha kaamuwa abadilishe kiti , akaae yeye kumlinda, mmhh kazi kweli kweli
ReplyDeleteha ha ha raha saaana
ReplyDeletehuyo michelle anawivu sijapata kuona
ReplyDeleteHahahaha well done Michelle... Iyo inaitwa abiria chunga mzigo wako ata mimi ningefanya hivo hivo
ReplyDeletekamkomesha huyo mama kwanza alikuwa hajui kama obama yuko na mkwe kazi kuonyesha picha hovyo hovyo tu kanikera huyo ni rais kujipendekeza tu
DeleteHUYO KIMAMA CHA KIZUNGU NI Asst secretary wa Obama hata kipindi kile alivyo kuja tanzania alikuwa nae. hivyo mama anachunga mzigo asije pigwa changa la macho ugenini.
ReplyDelete