Hapo Akisaidiwa na Wasamaria Wema Baada ya Kupewa Khanga |
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.
Tukio hilo lilijiri sehemu yenye mkusanyiko mkubwa, Kariakoo jijini Dar ambapo mrembo huyo alikuwa kwenye ‘shopping’ kwa ajili ya sikukuu ijayo ya Krismasi.
Likiwa linarandaranda maeneo hayo, Ijumaa Wikienda lilinasa laivu tukio hilo ambapo mrembo huyo alivuliwa nguo hadharani na kuacha ‘vitu’ njenje vikishuhudiwa hata na watoto waliokuwa wakimzomea.
Wanaume hao waliokuwa wakiongezeka na kuanza kumshika sehemu nyeti, walisababisha dada huyo kuanza kutoka nduki ambapo alizama kwenye duka moja kisha akasitiriwa kwa khanga na mama mmoja msamaria mwema.
Alipotoka bado wanaume waliendelea kumzingira ambapo ilimlazimu kutoa shilingi elfu hamsini kisha kurukia kwenye ‘kenta’ iliyomuondoa eneo hilo na haikujulikana alikoelekea kwa sababu gari hilo lilichomoka mbio huku akiwa amekoma ubishi wa kutembea nusu utupu.
GPL
ifike sehemu watu waadabishwee
ReplyDeleteushamba tu huo
Deletembona na nyie wanaume mnatembea vifua wazi? kwani sisi hatupati nyege? au kwakuwa hatuwezi kuwarukia? kama ni kuvaa kistaarabu na nyie msivue nguo hadharani pumbaff zenu
DeleteNdo dawa hiyo tumechoka kuongea kila cku hayo hayo.
ReplyDeletemhh punguzeni joto hasira kuchukua sheria mikononi wanaume zetu mbona wote mmekua wakurya wakali wakali tu saa yote nini mbaya? saa yote mko tayari tayari kupigana kupiga mtu utasema tuko Afganistani khaa shusheni presha kidogo maisha mazuri
Deletekaka Venance sipati picha huyo mke wako atakoma na kipigo mwee hivi unajua hata kusema i love you? nimekuogopa
Deletesafi hiyo nimeipenda
ReplyDeletenapenda sna mtukio kama haya yaendelee,labda itasidia
ReplyDeleteHIYO NDIYO FUNDISHO.
ReplyDeletendo dawa yao washenz km hao ili wakome
ReplyDeleteHiyo Ndiyo Dawa Yao Coz Huwa Wanasema"kipindi Cha Utandawaz Hiki"sasa Ndo Dawa Yao.
ReplyDeletenimegundua watu wenye njaa njaa na shida shida ndio mna muda wa ujinga huo wa kumind mavazi ya mtu, mbona huku Posta wanapita kila siku hakuna anayesema ? nyie wakariakoo shida tu zinawasumbua mnatolea hasira zenu kwa wadada
DeleteStupid....acheni ushamba....uhuru WA mavazi kila mtu anao...
ReplyDeleteHapa sio Afghanistan stupid wote nyie
point
Deletekweli ulimwengu malimwengu......................
ReplyDeletesafi sana siku nyingine atajifunza
ReplyDeleteNdiyo Dawa Yao Mzaz!Na Kesho Hatavaa Au Mwengne Hata Iga Uvaaji Huo C 2najifunza Kutokana Na Makosa!
ReplyDeleteWote huo ni uonevu na unyanyasaji wa wanawake, ooh mnawatamanisha wanaume, kwa nini hao wanaume wasimind business zao waache kutuangali! Aagrrh kila kitu haki anapewa mwanaume huu Utumwa mapaka liniii!? Ndio maana mimi hutembea na pepper spray yangu, mwanaume yoyote rijali anisogelee kunivua nguo atajuta kuzaliwa! Mcheew mumu men
ReplyDeleteyes! Hiyo ndio dawa tosha kabisa.
ReplyDeletesafisana kumbe kariakoo km buguruni. m2 nusu uchi si twamtia vidole2 mwanzo mwishooo yap!
ReplyDeleteAcheni ushamba uhuru wa mavazi kila mtu anao mbona wazungu wanapita amuwavui achen ubaguzi warangi lol
ReplyDeletesio ubaguzi wa rangi, body ya mzungu haivutii kama ya mbongo, acheni kukaa uchi inasaidia nn kujidhalilisha tu ningekuwa hata waziri au rias wangekoma na hivyo vinguo vyao vifupi kama mkapa alivyopiga marufuku kuvaa vinguo vifupi maofisin shwan nyie mmezidi
Delete