MSAANI MAARUFU "KELLY ROWLAND " KUTOKA MAREKANI AKIWA KATIKA MITAA YA UWANJA WA FISI MANZENSE JIJINI DAR-ES-SALAAM


Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying AliveFoundation) ya nchini Marekani, Kelly akiwa balozi wake. Akiwa Uwanja wa Fisi, ambako kunasifika kwa ufuska wa kupindukia na rate kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa wasichana wadogo, Kelly alitembelea NGO ya EYG (Elizabeth Youth Group) inayojishughulisha na kutoa misaada ya elimu ya HIV/AIDS, uchangudoa, ulevi pamoja na uvutaji bangi kwa vijana nchini.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizi so picha zs siku nyingi jamani?eti Jana

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli hii habari ya miaka mitatu iliyopita, tupe update za huyo dada Eliza na wenzake walituwekea habari zao zinasikitisha sana tupe maendeleo wako wapi misaada tuliyotoa imewasaidiaje? wale walipelekwa mikoani kwenye rehab vituo vya ushauri nasaha wamefikia wapi? bado wanahitaji misaada yetu? tuhabarisheni tuendelee kuwaokoa hao kina dada waliokua mahousegirl wakatelekezwa wakajikuta wanaingia uwanja wa fisi

      Delete
  2. Yote yatawezekana hapo kwenye bangi ndio mtihani maana niniwasiwasi hata yeye anatumia

    ReplyDelete
  3. Hyoo picha ni yazamani kweliii hadi kuuna nyimbo shooting yake ameifanyia huko bana hebu muache kutudanganya,kwa taarifa fupi tuu hata john legend kunanyimbo kafanyia zanzibar msje mkatudanganya sku nyngne

    ReplyDelete
  4. MMM MBONA MIAKA SASA IMEPITA NDIO UNAWEKA LEO?

    ReplyDelete
  5. Kweliii hikii ni blog uchwara..tukioo hiloo ni la mda sana hadi documentary ilishaonyeshwa MTV

    ReplyDelete
  6. Kumamae zenu kenge nyie... hii ilikuwa kati ya 2006 au 2007.... acheni usenge!

    ReplyDelete
  7. sawa sawa ya loe hiiii

    ReplyDelete
  8. Jamani hii habari na picha zake mbona ni ya miaka kama 3 iliyopita? Hii blog inaokota wapi habari?

    ReplyDelete
  9. Hahaha! Tusubiri na ile ya John Legend ya Zanzibar na Singida watasema kaja jana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad