"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"
Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"
WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania
KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!
Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,
Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"
Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013
Ni kweli kabisa Mchungaji unachokinena!
ReplyDeleteoyooooh ngoma inachezwa na mwenye mzuka bwana mumeona mambo hayo magwanda mutajibeba wenzenu magamba wameshika jembe wana lima mukipatana wanabeba kapu wavuna
ReplyDeleteunataka kuungwa mkono na ccm
ReplyDeletesema mchungaji watu wajue
ReplyDeleteMajambaz 2 haya. Mbowe mwenyewe form six then anataka kuongoza nch c mnataka m2letee balaa nchn.
ReplyDeleteumeona anaiwezaje hii nchi wa watu bilion shwain hawa wanafikiri nchi lelema ee
Deletevitu kama hivi ndiyo watanzania tunavitaka, mchungaji hongera kwa kuzidi kufungua watanzania macho. chadema ni chama cha wachaga na si watanzania, ndiyo maana wanachama wasio wachaga wakitaka tu kugombea uongozi watzushiwa majungu mpaka watolewe. sasa watanzania wako macho na nyinyi magwanda tunawangoja 2015.
ReplyDelete