Kuelekea kusheherekea sikukuu za Xmass na Mwaka Mpya Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakembe amefanya ukaguzi wa tiketi kwa mabasi mbalimbali yaendayo mikoani ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli katika kipindi hiki cha Xmass na mwaka mpya.
Baadhi ya mabasi yaliyokamatwa kwa makosa ya kuzidisha nauli aliamuru kurudishiwa nauli zilizozidi kwa abiria wao,zoezi hilo limefanyika alfajiri eneo la Visiga mkoa wa Pwani,kurudishiwa nauli kwa abiria kumeenda sambamba na faini ya shilingi laki mbili na nusu kwa kila basi lililofanya kosa hilo.
MWAKEMBE NOMA:AFANYA UKAGUZI WA MABASI YA MIKOANI KUONA KAMA WAMEZIDISHA NAULI MSIMU WA SIKUKUU
7
December 25, 2013
Tags
Jaman si aje hapo ubungo terminal ayaone madudu yanayofanyika hapo?
ReplyDeleteMaana dsm bwana kila sehemu ni usenge mtupu wasione tu sikukuu visimi vinawawasha....
kwi kwi kwi mdau hapo juu umenifanya nicheke kwa kweli...
ReplyDeletesasa visimi vinavyowawasha ni vya mbele au vya nyuma teh teh teh teh! Mdau umetisha
ReplyDeletekakoxa xehem ya kwenda.. Na dzain kama kachelewa.. Na angeenda ubungo.. Na drop moshi kwa buku 23 et nafika hapo naambiwa buku 33
ReplyDeleteFaini ndogo mno kwa kosa la kuibia watu.
ReplyDeleteNamkubali sana huyu waziri pamoja mheshimiwa...BY OCHU THE DON
ReplyDeletem
ReplyDelete