Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Samson Mwigamba amesema kuwa mpango unaofuata kwa sasa ni kumuondoa Dr slaa ndani ya chadema.
amesema baada ya zitto kuondolewa ndani ya chama mtu atayefuata katika kushughulikiwa ni Dr Slaa ambaye kwa sasa amekuwa amekuwa akifanya shughuli za chama kwa kupelekwa pelekwa bila yeye mwenyewe kujua.
Mwigamba amesema kuwa upo mkakati kabambe unaendeshwa na baadhi ya watu kwa kushirikiana na watu walio nje ya chama ili kukimaliza chama kabla ya kufika kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Amesema kuwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambaye yupo karibu sana na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ndio vinara wa mkakati wa kukiangamiza chama, huku John mnyika na Tundu Lissu wakijiweka mbele bila kujua hatima yao.
Rai
MWIGAMBA:BAADA YA ZITTO KUONDOLEWA ANAEFUATA NI DR SLAA
18
December 19, 2013
Tags
we kweli ulikuwa mamluki, hafadhali ulishtukiwa mapema ukatimuliwa, nyie siyo watu wazuri hata kidogo kwenye jamii, watu wanataka mabadiliko kuwaondoa hawa mafisadi, nchi isimame wewe ulikuwa unawaza tumbo lako tu! watu kama wewe ni watu wabaya sana kwenye jamii inayotaka maendeleo kwa wote, ushaondolewa kaa kimya tu, acha kushoboka ujinga, ndo unaonekana bwege zaidi.
ReplyDeleteChadema isha kufa hii hata NCCR ilikua hivihivi ngojea nimwambie Zito tukaanzishe chama chetu kisicho kua na Ukabila, Udini wala gender tuachane na huu upumbavu wa kina Lema na Mboe, Mboe watu wako bungeni wanatetea wananchi wao yeye yuko kwenye mikutano kuieneza siasa za chuki dhidi ya Zito huyu mfanyabiashara tu anaangalia faida zake binafsi
ReplyDeleteKwel mdau kushene kabxa labda mbowe na dr slaa waachane naYo vjana wachukue usukani kna Lissu na MnYika
DeleteCCM MMEFULIA
DeleteHapo juu sielewiii ccm tena? Hv Zito cio mchagga eeh. Mm nadhan mnamuogopa mbowe
DeleteInafka mtu anasema hana chama coz kla upande hauaminik nlikuwa nakikubali chadema lkn kmeshazkwa sa xjui huu uYatima utaisha lin, wako aazalendo wachache xana nahis zito Yupo ila cna uhakika 100% kna marehemu chacha wangwe na sokoine,labda kdogo
ReplyDeleteZITTO MBONA NI CCM YULE
DeleteMWIGAMBA AMEFULIA NDIO MAANA ANAONGEA PUMBA. MAMLUKI MKUBWA.
ReplyDeleteMWIGAMBA AMEFULIA NDIO MAANA ANAONGEA PUMBA. MAMLUKI MKUBWA.
ReplyDeleteWadau nani anaweza kuthibitisha au kukanusha taarifa inayozagaa kwa kasi mtaani kwamba bilionea Mwigulu Nchema ameshainunua Global Publishers inayochapisha magazeti ya udaku ya Risasi,Ijumaa,Ijumaa weekenda?
ReplyDeletesi ya udaku hayo.. hii habari pia ni udaku
Deletehakuna palipo sawa 100% lakini tunataka mabadiliko. Either positive or negative, what matters are changes.. peopleeess......
ReplyDeletehv tumwamin nani dah! chadema ndo basi tena
ReplyDeleteyaani ni bwege kweli hivi anaongea utumbo gani mbele ya jamii tena niafadhali wamekutoa nyinyi ndio mafisadi wakubwa mlitaka kukimalizaa chama ambacho kinaonyesha muelekeo kwa wananchi tafuta chama cha mafisadi sio chadema
ReplyDeleteMwigamba ulisema cdm uliondoka mdamlefu, sasambona kilawakati cdm au kunamizigo ulisahau kule? wambie wakupe uomdoke hatukutaki chadema!
ReplyDeletewe GAMBA nenda kajiunge na magamba wenzako huko ccm, tuachie Chadema yetu.
ReplyDelete
ReplyDeleteNiko very discouraged ...Chadema dah! Nasikitika....
Nashangaa! sijui ni mwamini nani?
ReplyDelete