NIMETUKANWA NA MKE WA JIRANI YANGU

Kuna familia moja imejengea karibu kabisa na kwangu tokea wamehamia ni miezi minne na zaidi, Baba wa familia hii ni wa rika langu kabisa, siku chache baada ya kuhamia tulikutana kwenye Ibada ya Jumuia mtaa wa tatu, basi tukawa tunaongea kwa kutaniana akiniuliza wenyeji huwa mnanywea bia wapi? Mimi nikamshauri kwamba Wkend tutafutane akiwa anasikia hata mkewe.

From there onward inapotokea mmoja wetu amekaa sehemu anapata kinywaji tunashtuana na kama upo interested una-join au unapotezea na mara nyingi tumekuwa tukikutana baadhi ya Weekends au public holidays. 

Majuzi nilikuwa na Business moja ya kumshirikisha, tukakubaliana tuonane Lunch time kwasababu wote tunafanya kazi mjini, Kutokana na mda wa Lunch kuwa tight kidogo tulishindwa kupata mda wa kuzungumza kwani kulikuwa na marafiki wengine ambao isingekuwa vema wasikie mambo yetu, hivyo tukakubaliana tukutane Jioni Bar moja ya karibu mtaani kwetu.

Mida ya saa moja na nusu usiku tukakutana na jamaa na tukaanza mazungumzo, tukiwa kati kati ya mazungumzo jamaa akawa busy sana na simu ya mkononi kwani alikuwa kila baada ya dakika chache ananyanyuka kwenda kuongea na simu alafu akirudi 'mudi' yake inabadirika, sikutaka kumuuliza maana niliamini ni mambo yake binafsi na ndomaana hakutaka nisikie anaongea nini.

Baadaye jamaa akazima simu yake, tukaendelea na mazungumzo huku tukipata Bia mbili tatu, ilipofika saa tatu na dakika kadhaa usiku nikapigiwa simu na namba ambayo sikuwa nimei-save, nikasikia sauti ya mdada lakini siku-notice ni nani, akajitambulisha kwamba yeye alikuwa ni mke wa Jamaa niliye naye Bar akaniuliza kama kweli nipo naye nikathibitisha hilo, Hapo ndipo alipoanza kunishambulia kwamba tokea nimefahamiana na mmewe, mmewe amekuwa akichelewa kurudi nyumbani, na ameanza tabia ya Umalaya, hivyo akaniasa niache kumfundisha mmewe Tabia zangu chafu za umalaya.

Nimeumia sana kwasababu hata siku moja huwezi ukamfundisha tabia mbaya mtu mzima mwenzako, labda na yeye awe tayari anatabia hizo, huo umalaya wangu sijui kaufahamia wapi kwasababu hatujawahi kufahamiana kabla ya wao kuhamia mtaani, japokuwa wife kasafiri mda mrefu nimejitahidi sana kujizuia na haya mambo, na mbaya zaidi wife akirudi akikuta sipo katika mahusiano mazuri na Mke wa jirani ata-draw picture gani? Nifanye nini ili tuendelee kuheshimiana na huu dada? Napata taabu kwasababu nikimueleza mmewe kwamba aangalie cha kufanya ili mkewe afute imani mbaya aliyo nayo juu yangu lakini jama 
-Jamii Forums
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mtombe heshima itarudi

    ReplyDelete
  2. Kula mzigo heshima itakuja yenyewe.

    ReplyDelete
  3. acha kutangaza mtombe atakueshimu

    ReplyDelete
  4. Jamani acheni matusi siyo vizuri.

    ReplyDelete
  5. Stupid topic to discuss.

    ReplyDelete
    Replies
    1. haya wewe uliyesmart mpe ushauri!!!!!!!

      Delete
  6. kaeni wote watatu mlizungumze alafu jali sasa mambo yako achana na vitu vingine kuwa busy

    ReplyDelete
  7. inaonekana hajiamini,na ww kwanini mkaongelee baa!!inamaana hiyo jumuia unahudhuria kama wajibu tuuuu!!?au inakuwa ni ya matengenezo ya moyo wako?laazima akose amani maana baa kuna vishawishi vingi!!kama vipi tafteni chemba ingine ya kustoli lakini isiwe baa!!!,,,,

    ReplyDelete
  8. Huyo mwanamke anaonyesha sio mstaarabu.matatizo yake na mme wake anajaribu kuyaamisha kwa wengine.Wewe achana nae tu kwani sio wewe tu kutukanwa,atamtukana kila mtu ambaye atakuwa na mume wake lengo lake ni kumuaibisha mume wake..Achana nae ni mwanamke asiyejielewa huyoo

    ReplyDelete
  9. PUMBAVU WOTE! MTAKAAJE BAA MPAKA MIDA HIYO ILIHALI MNA WAKE NYUMBANI? INGEKUWA MIMI, WOTE NINGEWAMWAGIA MAFUTA YA MOTO SHENZ TAIP! UMEONA KAA NYUMBANI NA FAMILIA! KWANI HAMKUJENGA SEBULE MKAE MDISCUSS MAMBO YENU? AU MNAGEUZANA NDO MAANA MNAJIFICHA MNASINGIZIA BAA???

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad