NORAH AWAOMBA RADHI BONGO MOVIES

Msanii Nora wa Bongo Movies amewaomba radhi wasanii wenzake pamoja na wengine kwa kutokushiriki kwenye matatizo mbali mbali kama vile misiba na mengine..
Msanii huyo alizungumza na Gazeti moja la udaku na Kusema hali hiyo imemtokea mara kwa mara kwa kuwa huwa yuko bize sana kiasi anashindwa kushiriki katika shughuli hizo ..hii inakuja baada ya Wasanii wa Bongo movies Kumsusia Wema Sepetu katika Msiba wa Baba yake ..

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ONDOA UNAFIKI WANGU MALAYA WEWE

    ReplyDelete
  2. Huwez ukawa busy akat unajua kuna tatizo

    ReplyDelete
  3. MMmh wakusamehee t i busy na msiba vitu viwili tofauti jipange upyaa badilika akuna p iliyotizama juuu.!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad