Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.
(Photo’s) DIAMOND PLANTINUMZ ANOGESHA SIKU YA KUZALIWA YA MWANAMUZIKI K-LYNN
27
December 07, 2013
Tags
Tesa mama maisha yenyewe mafupi.
ReplyDeleteHao ndo wa2 wenye hela bwana mambo yao kimya kimya cio Mwenzangu na mie mange kimavi angeutangazia ulimwengu wote mpaka viziw pia wasikie mara cisukii nywele feki za kichina
DeleteKwenda zako baby ya zeze,tutolee uvundo Umu.Jezebel mkubwa.
Deletehongera bdada
ReplyDeleteKutesA KWA ZAMU Na kuteseka kwa awamu jack kula bata
ReplyDeleteNaona sasa anaogelea madolali,Wapi kinje ngombale na kati ya bondeni,Wapi mzungu,Wapi Jimmy Kabwe ,
DeleteKidoti hujutii kumwacha mzee machache?haya mwenzio Jacky analalia na kuamkia madolali.Maisha ni kuamua ukitaka kuwa masikini utakuwa na ukitaka kuwa tajiri utakuwa.
ReplyDeletebasi sawa.
ReplyDeleteSasa hapo domo atamwita mzee mengi baba au shemeji naombeni msaada kimawazo wadau
ReplyDeleteRahaaaa..mengi come to me plzzzzz
ReplyDeletebebi ya zeze nakupendaje sasa..
Hili li Deborah limekuwa ka chizi tangia jamii forum walitishe watatoa data zake mitandaoni.
DeleteLilikuwa lajiita baby ya mange,now baby ya zeze,kesho baby ya Kiki .Malaya usiyejielewa.makaratasi huna umekopachika Kwa bwana mkongo.
DeletePlease jamii forum msitoe habari za baby ya zeze ataaibika balaa.
DeleteNo hawamtoi tena sasa hivi anajiita baby ya zeze si baby ya mange tena.
ReplyDeleteJamani si Linda aliandikaga eti baby ya mange ndie mange mwenyewe?
DeleteJackie Hana love na mzee mengi hapo kafuata Mali tu,kwahiyo mzee mengi usijisifie unapendwa hapo ni pesa Ndo mpango mzimaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteNa alivyokuwa smart na watoto kamzalia akili ni nywele
DeleteJamani maisha we acha tu nikikumbuka Jackie Enzi hizooo anakaa changombe magorofani na Jimmy kabwe,Leo Jackie analalia madolali anaamkia madolali aaah salale.
ReplyDeleteMimi hela za dizaini hiyo zinipitie pembeni acha nichape lapa kuuza mayai.MBUTA NANGA
DeleteHuu Ujumbe ni Kwa diamond,dogo usidondoshe udenda huyo ni my wife ya mwenyekiti.ukawii kumtongoza dada wa watu.penny sijui hakumalizii haja zako.
DeleteMh kutesa kwa zamu hi dunia bana ngoja namim nkajpitishe nizae tatu bora
ReplyDeleteWatoto kuzaa na wazee wenye umri sawa na baba zao sababu ya dhiki ni Laana mara 100…It is very obvious THAT she is a GOLD DIGGER …
ReplyDeleteNa watu will kiss her ass sababu she GOT MONEY AMBAZO ANACHUNA..
Well said mdau.
DeleteWatu wata kiss ass sana na kusahau kwamba kafata hela,ila kutwa kumsema Wema Malaya.
ReplyDeleteKabisaaaa.na sasa hivi anavyopaatikiwa ni balaa.kafata hela hapo hakuna penzi hapo,Sikazi Ana dogodogo wake pembeni. Who knows.
DeleteMh ilo nalo neno
ReplyDeletemmh ndyo hvyo
ReplyDeletetesa mumy maisha yenyewe mafupi