PRODYUZA ALIYEFUKUZWA NA WEMA AFUNGUKA "WEMA ALITAKA NIWE KUWADI WAKE

BAADA  ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara  na ukuwadi ndani ya kampuni hiyo wala siyo uzinzi, Amani linakujuza. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, Chid amesema hajafukuzwa katika kampuni hiyo kama alivyodai mratibu wa kampuni hiyo, Petit Man bali ameondoka baada ya kuchoka  kufanya kazi bila ya kulipwa mshahara.

“Ni uongo kusema kwamba nimenaswa nikifanya uzinzi Coco Beach nikiwa ndani ya magari ya Wema, sijawahi hata siku moja kufanya hivyo kwani nina kwangu ambako nina uwezo wa kumwingiza mwanamke wakati wowote,” alisema.

“Tangu kampuni ianzishwe haijawahi kulipa mishahara unadhani nitakuwa na moyo wa kufanya kazi, sikwenda pale kufanya ukuwadi kama wengine, tena nawaomba wasiendelee kusema uongo kwani nina mengi nayajua ya Endless Fame,” aliongeza Chid.
Baada ya kusikia maelezo hayo, Amani lilimtafuta Wema bila ya mafanikio ndipo likaongea na meneja wake, Martin Kadinda.

“Nina wasiwasi na kauli za Chid kwanza tatizo siyo mshahara na hayo masuala ya ukuwadi ni uongo na uzushi, kama ni kweli kwa nini asiongee siku zote hadi lilipoibuka hili la kunaswa akifanya uzinzi kwenye gari?” alihoji Kadinda.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pamejaa mashoga na wasagaji tuu

    ReplyDelete
  2. Huyu mwarabu koko ni Muongo, siku zote alikuwa wapi hadi kufukuzwa ndio eti kuwadi

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nawe fala tu,kama ni uongo akae kimya ? acha aseme lililo la kweli usipende udaku wa upande mmoja, bwege wewe.

      #mwarobaini#

      Delete
  3. mtekenyeni afunguke jmn umbea raha

    ReplyDelete
  4. Wote waongo2,kuacha kazi ni kawaida,maneno maneno ya nini!na nyie mkikosa habari zenye akili mnaanza kutuletea umbea,changamsheni mibichwa yenu.

    ReplyDelete
  5. uyo jama ni msenge sana

    ReplyDelete
  6. Sura km vuzi...wengine wote wanalipwa isupokuwa ww tu..matako wee..muache madam wetu miaka mia...msenge manyoya wee

    ReplyDelete
  7. watu mna degree za udaku na matuc..,.,

    ReplyDelete
  8. Kumbe mtu mwnyewe ndo huyu alomfanya mwenzie avunjike mguu kwa uproducer na udirector wa kisenge.

    ReplyDelete
  9. umbea tu!!! Hao ndo wakiachwa na madem zao huanza kuwakandia.

    ReplyDelete
  10. ahaaaaaaaaaaaaaaaa mbavu zangu mwarabu koko kajutaaaa

    ReplyDelete
  11. Funguka dos kolombo,ukizid kukaa kimya unawapa nafasi kipake tu,mbona we wamekipaka unachukulia babes magar yao.najua kampin nyingi professinals wanafanya kazi za kujitolea malipo na work done 2 different.........anywayz it all gud nitumie nikutumie thats höw it is.............

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad