Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kwamba anatafuta mwanaume wa kumridhisha kimapenzi.
Akizungumza na Bongo5 leo, Recho amesema ni kawaida yake kusema hivyo katika show nyingi ambazo amekuwa akizifanya kama njia ya kucheza na akili za mashabiki wake.
“Binafsi yangu nipo na mchumba, anajuaga kama naongea hivyo kwaHiyo sio kitu cha ajabu ambacho kikawafanya watu wanifikirie vibaya. Kwani kuna ubaya gani nikasema natafuta mtu wakuniridhisha,naona hakuna ubaya,sijaongea lugha mbaya ya matusi ni kitu cha kawaida kwa fans wangu,” alisema Recho.
Habari hiyo iliandikwa kwenye mtandao wa Standard Digital News wa Kenya ikiwa na kichwa cha habari kisemacho; Tanzanian superstar begs for ‘sexual satisfaction’
Tanzanian musician shocked journalists when she screamed to the cameras that she needed to be ‘sexually satisfied’. Recho, who was talking to reporters after the Kigoma All-stars concert in Mombasa, said that she wanted a man to ‘end the night with.’
Disappointed that her wish did not come true, the musician, famous for her song Upepo, told reporters and anyone who cared to listen that they ‘couldn’t handle a woman’.
Recho was not the only disappointed musician that night as her Tanzanian counterpart Maunda was spotted backstage crying after being booed offstage by the crowd.
keshalewa ustaa hali hiyo hata nje ya tz hajaenda ni mikoa ya tz tu akitoka nje akaonane na Rihanah si balaa
ReplyDeleteAlikuwa anatafta kick kwenye media za kenya
ReplyDeletekumbe kenya sawa na bongo2 vitu vya kipuzzzzi ndo stori ! haya ss jina lecho limekua ... je wale wanaovua nguo stejini mbona hamsemi?
ReplyDeletepumbavu sasa hicho ndo kitu cha kucheza na akili za fans wako?? ndomana umebemendwa
ReplyDeleteUyu recho anajidis grade...kiukwel..kalianzaga muziki kakiwa evry enocent...sasa kamefumuka...kulizishwa ma ass...maza kijoti
ReplyDeleterecho mpumbavu rinataka kuridhishwa kimapenzi(ngono hovyo) wakati sisi tunataka turidhishwa kimaudhu na halituridhishi.by mantage
ReplyDeletenili katomba mwezi Jana mpaka kanaliya nataka kunya.kaka sema sintokuja kwako tena! Nikasema poa shida nikukufira mkunduni,ndomana akawezi kulala bila kutombwa.
ReplyDeleteMmmh...!! Kweli kujitambua ni kazi kubwa, Mpumbavu ni mpumbavu tu,
ReplyDeleteMalaya fisi wewe...mnawavulia chupi wakak wa mjini na watawafira wote.haya saidianeni kuusambaza umeme wafirwaji nyie..wewe...huyo maunda lina menina kuwadi la mashoga daynanyange na wengineo mfyuuuuu wenzenu walioolewa walistaarabika kwanza
ReplyDeleteHabari zenu Waungwana. Mimi hitaji langu namtafuta binti kutoka kabila la WAHANGAZA kwa ajili ya mahusiano ya Kimapenzi na hatimaye Tufunge ndoa ikiwa Mungu atatupa uzima.Niko seriouz katika hilo, kwani nimetokea kuvutiwa sana kimapenzi na watoto wa kihangaza.
ReplyDeleteNapendelea Awe na Rangi ya Maji ya kunde, Mwembamba wastani,Asiwe na Makalio makubwa,yawe ya wastani, Awe na kiuno chembamba wastani size “24-28.Mrefu wastani cm165-170, mwenye uso wenye mvuto mwembamba na pua ndogo nyembamba, midomo/lips nyembamba wastani, mwenye fomula ya Meno iliyo jipanga vizuri. Macho yake yawe na ukubwa wastani. sio madogo sana sio makubwa.
Awe Mwenye hofu ya Mungu ndani ya Moyo wake, Awe mwenye umri wa kuanzia 27-29. Awe Mkweli/Mwaminifu, Awe Mwenye Kiu ya Upendo/Mapenzi ya kweli, Awe na Huruma kwa viumbe wote, Asiwe Mchoyo/Mbinafsi. Awe anajua kumjali Mwanaume/mpenzi wake, Asiwe mtu wa kufuata mkumbo/Ushauri Unaopotosha hasa kutoka kwa marafiki/kampani Mbaya.
Ni hayo tu kwa uchache, Mengine nitakujulisha zaidi ikiwa wewe ni mhusika ninayekutafuta.
TAFADHALI ZINGATIA SIFA HIZO ZA AWALI HAPO JUU. NIKO SERIUZ KWA HILO SITANII. NASISITIZA TENA NAHITAJI BINTI KUTOKA JAMII YA WAHANGAZA NA SIO VINGINE.
Ikiwa wewe ni mhusika na umeguswa na vigezo hivyo tafadhali wasiliana nami mapema bila kuchelewa kwa maana mimi ndiyo ule ubavu wako wa kuume. Fanya hima Tuungane tuwe Mwili mmoja.
Mimi kwasasa naishi Moshi Mjini nina umri wa miaka 34,Huku sijawahi kukutana na binti wa kihangaza tena mwenye sifa hizo.
Kihistoria, Niliwahi kuwa na rafiki msichana kutoka jamii ya wahangaza, Kule Arusha nikiwa na umri wa miaka 22/23 kwakweli nilimpenda sana, naye alinipenda pia. kwani alikuwa ndiyo first love kwangu, kwa bahati mbaya tulipotezana mawasiliano baada ya kusafiri mikonai kuitafuta elimu nk. Na hatimaye alikuja kuolewa na mtu mwingine niliumia sana nilipokuja kujuwa hillo. Sikuwa na la kufanya nilikubaliana na hali hiyo.
Tangu kipindi hicho nimepata marafiki wa kike wa jamii zingine lakini bado sijapata furaha yangu. Nahisi nimeumbwa kwajili ya binti wa kihangaza na nikimpata Moyo wangu utatulia.
Nimeamua kuwa singo kwa miaka mi 3 sitaki uhusiano na binti yoyote sasa wakati namwomba Mungu anipe binti kama yulee angalau hata kama haitakuwa asilimia 100%.
Najuwa yupo tu kwamaana hapa duniani watu wameumbwa wawili wawili. Kama nitakutana naye njiani uso kwa uso ni vyema lakini pia kama nitakutana naye kwa njia ya mtandao wa intanet sio tatizo kwangu kwani ndiyo mambo ya kisasa.
Natoa Email Adress kwasasa koby2808@gmail.com kwajili ya mawasiliano na endapo wewe ni mhusika nitakupa mawasiliano zaidi hasa simu nk. Tafadhali nakuomba usichelewe kunitafuta mara usomapo maelezo yangu.Kwani Imani yangu inanifanya nikusubiri kwa hamu na shauku kubwa. We acha tuuu! Nisiseme sana!
Ubarikiwe sana!!!!!!!!!!!!!