Mashabiki wa Chelsea wanamrushia matusi pamoja na maneno ya kebehi striker Samuel Eto’0 baada ya kupost picha ambayo sio kawaida kwa mchezaji ku-tweet pale timu yake inapokua imepata matokeo mabaya uwanjani.
Picha yenyewe ni hii hapa chini inaonyesha matokeo ya Chelsea dhidi ya Sunderland then Samuel Eto’o aka-tweet kwa followers wake zaidi ya laki moja na nusu kitu ambacho baadhi yao wamekichukulia vibaya kwamba kwa nini timu ifungwe alafu apost?

Hizi ni baadhi ya tweets kutoka kwa mashabiki ambapo tweet nyingine zina maneno mazito kutoka kwa mashabiki hawa ambao wamemjibu Samuel.
wanamuonea
ReplyDeletehao mashabiki ni wake ambao hawajitambui wnataka matokeo ya man U tu ndio wapostiwe shem on all!
ReplyDelete