SHAA AKIRI KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MASTER JAY.

Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa... na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, Nampenda sana Master"

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha kujitetea umevuruga ndoa ya watu hata aibu huon go to hell

    ReplyDelete
  2. kasugue gaga kule...mfyuuuuu

    ReplyDelete
  3. Umalaya tu.
    Kuvuruga ndoa ya mwenzio.
    Nimekushusha sana maana nilikuona wa maana.
    Fyuuuuu



    ReplyDelete
  4. mi napita tu...👣

    ReplyDelete
  5. ukitemtendea mwenzio, na wewe utatendwa tu, we unasema hukuwa sababu, we ni sababu tosha ya kuivunja ile ndoa.

    ReplyDelete
  6. hauna hata haya unavosema hukuwa 7bu! phuuu! cheki sa unavojishusha kwa mashabiki wako unafundisha nini jamii we km msanii?

    ReplyDelete
  7. Ebu mwachen mtoto wa watu.maneno yanawatoka hadi povu.mumuwache mkasugue gaga.mfyuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. Acha uhuni mtoto wa like kuharibu ndoa ya watu,tafuta ya kwako umalaya umekuzidi utachezewa mpaka uzeeke hata mtoto usiambulie,nyoooooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumanyoko we du et kwa kujidai kabisa mi sio sababu,shame on you mk####$@ndu we

      Delete
  9. Mmh makubwa madogo Tamar unafuu

    ReplyDelete
  10. Dah umeona kwa master ndo kwa kusugulia gaga eeehh achen kuaribu ndo za watu (mtenda, hutendwa)subiri zam yako mmffffyyyyuuuuuuu

    ReplyDelete
  11. Nilikuwa nampenda shaa lakini tangu nimesikia umearibu ndoa ya watu no love for you iba mwenyewe asikuone wazuri wanazaliwa kila siku subir ndoa yako kuja kualibiwa mama hee

    ReplyDelete
  12. Nyie malaya mnaomponda shaa wakati nyie wenyewe mnaharibu ndoa za watu.mumkome shaa mbwa nyie

    ReplyDelete
  13. Waaribu ndoa za watu wapigwe mawe...

    ReplyDelete
  14. umalaya tu unakusumbua.. ngoja na we utemwe ndo utasugua gaga vizuri domo kubwa..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli mwanamke ana DOMO balaa!!!sio DIAMOND peke yake ….

      Delete
  15. Duh! Hii kali, ninaloweza kusema ni kuwa ndoa ipo kati ya watu wawili kwa wale wanaojua ndoa. Nijukumu la wanandoa kuidumisha au kuivunja. Third party hana nafasi ktk ndoa kama kweli mtu unakuwa umeijua maana ya ndoa. Msihukumu ili msije mkahukumiwa.

    ReplyDelete
  16. Nyie wote ni makuma kama buzi limeingia shikilia mm achana na wasenge ila ukumbu kunipa chata na mm

    ReplyDelete
  17. Ngoja master j akusugulie gaga ukitoka hapo lazima ukavae zile always zako unazozitangazaga. kuma we

    ReplyDelete
  18. Mwacheni mtoto wa watu couple yao ipo tight mno wameendana na wamependezeana. Komaeni hivyo hivyo wala msisikilize mapovu ya hawa wana joto hasira. Yaani hii couple naipenda sana inafanana na ile ya KAJALA NA ABDUL NSEMBO. Kwa kweli kaka Abdul tunasubiri tu maulidi mwakani ututambulishie shemeji yetu rasmi atupikie futari Inshaalah mungu akipenda hiyo mwakani, tumechoka kwenda naye kula nyama baa tunataka tuende rasmi nyumbani kwa shemeji yetu atuchomee nyama.

    ReplyDelete
  19. Duh, ebwana eeehh, ndoa za kibongo bongo kweli majanga. Mshikaji si kaoa juzi tu hapa, bonge la harusi nini show off za kufa mtu, mapicha kwenye blog na nini kumbe tayari mshikaji ashakamata kazi ya nje, kweli pesa inaongea. Ila hongera bro, hapo nakupa mia mia umechagua, sasa hapo ndiyo heshima, hilo dude ni noumeerr kaka mtoto tupo fresh sana huyo komaa kaka Kajala kifaa siyo mchezo. Ndiyo maana siku ile pale samaki samaki town mambo Fulani wema pembeni nini, mzee kati, kule Kay, huku Zamaradi nilidhani mambo ya business kumbe duuuh, hatareeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  20. We Matako Huwez Kuandika Chochote Bila Kumsema Diamond Et?

    ReplyDelete
  21. Anampenda Wapi Mnafki 2 Huyo.

    ReplyDelete
  22. nice couple shaa n master jay wote hawana dharau wala nn, kwan wangapi wameachana sembuse wao, jst b happy guyz love u mingi

    ReplyDelete
  23. jamani huyo dada mwambieni kuna punda wangu anataka demu wa kufunga nae ndoa! na anapenda kweli kula tigo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad