TABIA YA LULU KUPIMA UKIMWI MARA KWA MARA YAWASHTUSHA WATU
7
December 05, 2013
Gazeti moja la udaku Hapa nchini limehoji tabia ya Msanii wa Bongo Movies Lulu Michael Kupima Ukimwi Mara kwa mara Likidai ana nini mpaka Kila Mara afanye hivyo ..Limesema Wengi wanahohiji Kwa vile wanahisi kuwa anabadilisha wanaume mara kwa mara so kila wakati inabidi Apime ...Mmhhh kazi Kweli Kweli..
Tags
mtoto malaya sana huyo lazima awe na wasiwasi! umalaya kauwanza tangu mdogo kwasababu!
ReplyDeleteSikio la kufa hilo halisikii dawa
ReplyDeletekaz na dawa
ReplyDeletehivi vitoto vidogo vya siku hizi sijui vinamatatizo gani? katoto kadogo badala yakwenda shule na kujithamini kanaanza ukahaba! jinga kabisa!
ReplyDeletekahaba ndo tabia yake,hana uhakika na machafu aliyozoea kufanya ndo maana anafanya ivyo.
ReplyDeleteHeee hongera diamond Kwa kutunza mabinti,siku hizi penny nae anapiga pamba anatutupia instagram.
ReplyDeleteHuna jipya anymous at 10:30AM
ReplyDelete