WAKATI UNALALA,IKA HUNA HELA, CHEKI MBONGO MWENZAKO ANASWA ANAENDESHA GARI HILI LA THAMANI DAR
14
December 23, 2013
Usiseme Hamna Hela,sema Sina Hela....That was the statement that kept playing on my head os Sunday Morning when I came in contatc with this beast along Dar es Salaam streets...
Yes,its the famous Lamborghini and it belongs to a Tanzanian! So...I moved closer to get a better look at it...
Tags
Acheni Davis Mosha ale maisha mnamdai kwani?
ReplyDeleteWhat is so special with lamborghini?
ReplyDeleteare joking?is a special car...ktk soka gari la aina hii linamilikiwa na christiano ronaldo na samuel eto'o tu
Deletehaishangazi, tena ilibidi kuwe na hata maferari hapa mjini, sasa kama bongo kila kukicha watu wanabeba madawa unashangaa nini kuhusu hili?
ReplyDeleteupumbavu mtupu.. ukanunue lamborghini na hizi foleni na haya matuta!! idiots!!
ReplyDeleteSasa kama mafuta sio tatizo mpuuzi wee acha watu waishi watakavyo
Deletegood lyfe
ReplyDeletedavis mosha ndo nani jamani? contact zake plz!! watu tupo kazini bana!
ReplyDeleteHuyu ni kijana super rich ana miaka 38, CEO wa DELINA CO. anamiliki kama scania 200 kwa uchache.contacts hazitolewi kwenye public
Deletemhhh.
ReplyDeleteWewe zoba unaesema wacha waishi watakavyo ngoja siku wakuvue suruali ndio utajua.
ReplyDeleteAaaaaa! Wacha watutie viroho tu, mi pkpk imenishidna ila sikati tamaa kabisaa!
ReplyDeleteMie sina chochote cha kusema,ila msiniambie kakojoe ulale.
ReplyDeletekila m2 ana lyf lake xo ixhu za kufatiliana kiivo co, mwecheni ale raha zake!
ReplyDelete