Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin
Ukiwa unampa kati ya 100,000 na
150,000 utakuwa unaitwa
DEAR...Morning Dear..Umeamkaje
Dear..Dear Umekula??Usiku mwema
Dear usisahau kuniamsha Asubuhi
Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa
unaitwa BABY...Baby Hows ur
day..Baby naumwa kweli leo...Baby
naenda Mwenge see u later.
Ukihonga 300,000 na kuendelea
hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi
ushaangae...Kila kitu Hubby
Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo
nafunga mlango...Hubby kuna
Mende chumbani njoo tulale
wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa
lini??
Chagua jina unalotaka...Mahaba ya
siku hizi ni kama MENU ya MPESA,
Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet
kidogo na wewe kabla hujafa uitwe
HUBBY AKE
NB:KAMA HUNA HELA,WANAWAKE WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI
wewe ulihonga ngapi na ukaitwa nani shwain wewe ujue wanawake uongo mmewafundisha wenyewe, mlikuwa ukiwa bar na changu unasema kazi zimekuzidi sasa ngoma droo mnalalamika acha wajilie wenye chance zao hata asali nitakuita chezea mkwanja wewe
ReplyDeleteNa sisi wa 2000-5000.
ReplyDeleteWanatuitaje Mpekuzi?????????
mpita njia
DeleteHahahahahah! haya bwana, hiyo ndiyo dar, ndo maana sitaki hata mtoto wangu akulie Dar es salaam!
ReplyDeleteKuna wale wa kutuma vocha ya buku tu nao tuwaitaje
ReplyDeleteUwiiii umeuwa na wake wa 20-50 +voucher wataitwa friend mmh majanga
ReplyDeleteNdo maana dkika moja mitaani...yaan..
ReplyDeletepah pah,pah..2nakoki alf tena pah pah...5 tu...alf wa2 waleeee....
HAKUNA LOLOTE! INATEGEMEA NA MASHAUZI YA BAADHI YA SISI WANAUME WAKATI WA KUANZISHA UHUSIANO NA HAO WANAWAKE,TATIZO BAADHI YA WATU WANASIFA NA KUJIFANYA WAKO JUU MWISHO WA SIKU WANALIALIA. MADEMU WENYEWE WA KIBONGO, WE UNAHONGA NA YEYE ANAENDA KUHONGA MBELE ILA SIKU UKIFURIA LAZIMA AKUKIMBIE.
ReplyDeletePESA SIO KILA KITU! UNAWEZA UKAWA NA PESA NA UKOSA VINGINE KAMA mapenzi ya dhati, maradhi yatakayokufanya uwe na underperfomance kwa bed nk.
Sio kweli wangu hanipi hela zaidi ya kunijali nakunipa mapenzi ya kweli...namwita hubby au darling! I love him. Mapenzi yoyote ya pesa ni wizi tu, do sio wanawake wote wa Dar tuna tabia hiyo.
ReplyDeleteHela ndo mpango mzima!mtuache wanawake kutwa kutuandama,mbona na nyie mijanaume mnataka kuongwa tu.pumbu zenu na mkome kuweka hbr za wanawake.
ReplyDeleteila kusema kweli mwanaume akiwa hana hela anakera jamani acheni tu. halafu kuna wale wanataka wahongwe na wanawake au ndo huwa not richabo kabisa kwangu
ReplyDeletewe changu tu mwanaume akiwa hana hela anakera vipi? kuwa au kutokuwa na hela ni kuwa na shilingi ngapi? ogopeni magonjwa nyie, wengi sasa hivi pesa zipo na wagonjwa wengi, true love isnot about how much u have in ur pocket!
ReplyDeletemweeeeeeeehh na sieee wa 1,000 mpk 5,000 ndo twaitwajee???!! friend auu!!?? hahahaha ni shidaaah
ReplyDelete