Nasikia masista duh na warembo wengi ndio wqashiriki wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi ukilinganisha na wasichana wenye sura za kawaida.
Pia utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanawake warembo ndio wanaoongoza kwa kugombea mabwana kulinganisha na wale wasio na sura zenye wingi wa vikwerombwezo
Kwa maoni yangu naona kuwa kwanza tukubaliane uzuri au ubaya wa mwanamke iko mikononi kwa mtu mwenyewe anayethamijisha.
ReplyDeleteIla tukichukulia tu kwa ujuu juu hivyo hivyo kama mwandishi unavyotaka mara nyingi hao unaosema ni wabaya huwa hawajiamini machoni kwa jamii. Kwa hiyo utakuta wamejikatia tamaa. Hivyo hawana muda wa kukimbizana na mtu.
Kwa upande ya hao unaosema ni wazuri, nao huwa wanaamini wanastahili kupata wanaume waliokamilika kila kitu pengine kisura na kiuchumi. Sasa wanapoona mbona hawapati wanachotaka hapo ndo wanaanza kutojiamini. So ndo mambo ya ushirikina na kugombea wanaume yanapoingia.
Kwa hiyo nadhani ni suala la wanawake KUTOJIAMINI tu.
Ni mtazamo tu, masela msijenge chuki
Nimefanya uchunguzi wangu nimegundua asilimia 70% ya wanawake wanapenda kupiga picha sehemu za makalio yao...hivi tuseme ni biashara au utandawazi!?
ReplyDeleteMambo. yakizungu
DeleteUko sawa mnoo ndugu, yaani ni hatari tupu...
Deletebiashara matangazo, wanaonesha wazi ni watoa tiGO,
Leo mmmm napita tu hilo halinihusu kabisa
ReplyDeleteHaswa, wanawake wengi ni washirikisha balaa, tena kinara wao ni Mrs. Sembe, ukipenda unaweza muita Shamim Mwasha (Mwenyewe alijipa jina la Zeze)
ReplyDeleteYangu mackio
ReplyDelete