WASTARA "MTAMUONA MPENZI WANGU SOON KULIKO KUENEZA HABARI ZA UONGO"

Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia Week mbili watu wanasema sema kuwa ndio mrithi wa Sajuki.."Nachukia Sana watu wakifatilia maisha yangu Binafsi Badala ya kazi zangu nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu mapenzi ..Iwe ni Bond wanaye Msema ama mwingine"

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haya haya twasubiri

    ReplyDelete
  2. dada una heshima kubwa sana hapa bongo,uwe makin na kauli zako na mambo yako,hiki ndo kipindi ambacho heshima yako kwa watanzania ipo hatarin kuvunjika,nakuomba ujitahidi kulinda heshima uliojijengea kwa miaka mingi

    ReplyDelete
  3. We nawe tumekuchoka. Unafikiri we ni nani mbona wa kawaida tu? Tuliza domo kubwa

    ReplyDelete
  4. Yeye ni mwanamke pekee aliejaliwa na mungu kuwa na moyo wauvumilivu

    ReplyDelete
  5. ucjal dada,maneno hayachagi. vumilia wanadam ndo walivyo!

    ReplyDelete
  6. Kuwa makini dada wnataka. Wakuchafue na kunahaj ganikumuanika mumeo ikijua familia yako inatosha kuwa makini sana na magazeti na epuka kuhojiwa ovy na. Waandishi. Wanakuchokonoa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad