WEMA NA KADINDA KUNAN-NI UMENEJA TUU AU?

Katika Pita Pita zangu nimekutana na habari hii katika Gazeti moja linaloitwa Visa..Habari yenyewe inahoji ukaribu wa Wema Sepetu na Manager Wake Martin Kadinda....Limeandika hivi ....
Madam Wema na Manager wake bado Wanawapa Maswali yasiokuwa na Majibu Watu wengi kutoka na utaratibu wao wa kazi na Maisha wanayoishi kwa sasa....
Mtu mmoja wa karibu wa wiwili hao amenyetisha na kusema Martin Kadinda Toka Awe na Wema Sepetu hawajahi Kumtambulisha Girl friend wake kwa mtutu yoyote hata watu wa karibu na yeye..
Pia kwa upande wa Wema Mtu huyo amesema kuwa Toka Wema ahamie kwenye Jumba Lake la Kifahari Hajawahi hata siku moja kumuingiza mwanaume zaidi ya marafiki zake wa kawaida..hao marafiki zake hufika na kuondoka lakini inasemakana Martin siku zingine huwa analala Japo hajasema kama ni chumba kimoja ama ni tofauti ...Kitu ambacho kinaacha maswali mengi sana kwa mashabiki wa hawa wawili...
Maswali mengi yamekuja kutokana na picha zao za Utata wanazopiga kama Msanii na Manager wake 

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. akiwa analala nae si yeye nyie fanyeni yenu jamani

    ReplyDelete
  2. so what, kwa madam ni kawaida

    ReplyDelete
  3. Sisi inatuhusu nini hata walale kitanda kimoja,mwacheni Wema aishi maisha yake kama ninyi mnavyotakiwa kuishi maisha yenu badala ya maisha ya Wema!

    ReplyDelete
  4. Roby hulala pia

    ReplyDelete
  5. Jamani haiwahusu hata wakiwa wapenzi fanyeni yenu muache umbea kama hamna kazi laleni co kufwatilia ya watu

    ReplyDelete
  6. sisi mnataka kadinda awadindishie nyie wambeya?

    ReplyDelete
  7. inawahusu nini? muacheni na maisha yake jamani wema wa watu yakwako mbona huyaandiki ulitaka ulale wewe kwenye hiyo nyumba? Heh kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  8. Hapa kuna mawazo tofauti na hakuna kati ya sisi inayotuhusu..but sio wakiwa ktk media wanajishaua na kwann wafinye mi mbona najua muda mrefu..na nna uhakika awa wote wana wapenzi wao but asilimia 100 + 400 hawa wanamausiano na wanakulana..

    ReplyDelete
  9. Nilifikiri Kadinda ni mtoto si rizki!!! Mmh sidhani kama wanado but u never know, lkn situmuache Wema apumuwe kila siku mnamuandika yeye tu. Abeg lv my Onyinye Wema alone ooo, please do for God eeh! Thank you:)

    ReplyDelete
  10. Embu mwacheni madam kilasiku umna mwandika mwandika tu kadinda akiwa anamla madam ina husu nn sasa ww adimn mpuuzi kweli eti sijui wana lala chumba kimoja au la ukishajua itakusaidia nn utakuja firwa leave wema alone

    ReplyDelete
    Replies
    1. Itakuwa unafirwa hata wewe, u have nothing to comment, shuTT uP!! bastard

      Delete
  11. Wasenge nyie kwani hamuoni kuwa ni malaya ?

    ReplyDelete
  12. Malaya your ass!muachen madam alone

    ReplyDelete
  13. Kadinda kula mzito hapo ndo watu wanajiponeaga

    ReplyDelete
  14. We kadinda nitakusemea Kwa platnumz

    ReplyDelete
  15. Mbona huyu Kadinda kakalia kishoga shoga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad