ANGALIA PICHA NA VIDEO JINSI JAY Z NA BEYONCE WALIVYOPAWISHA TUZO ZA GRAMMY NA WIMBO WAO WA DRUNK IN LOVE

Jay Z and Beyonce put on a showstopping performance as they opened the 2014 Grammy Awards on Sunday night performing hit song, Drunk In Love. Beyonce wore a black thong, glittering bra and sheer bodysuit while Jay Z looked dapper in a suit. Definitely one of the best performances of the night. See more photos and video of their performance

ANGALIA VIDEO HAPA:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo video ikowap we mbururaa......usituchoshe ce na kiblog chako mchwaraaa..

    ReplyDelete
  2. Kwa vazi la Beyonce lingevaliwa na msanii wa bongo naona wenye magazeti wangefunga hesabu za mwaka mzima mwezi February. ...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwanza hilo vazi sio utamaduni wetu. Pili kazi ya celebrity ni kutuentertain na sio kutufundisha cha kuvaa. We just enjoy watching her lakini sio lazima na sisis tuvae! Afterall amevaa akiwa na mumewe, sioni kama ni tatizo kwa utamaduni wa wenzetu.
      So akivaa msanii wa bongo lazima gazeti liuze coz its not in our culture. SO TUSIPENDE KUJIFANANISHA NA WENZETU, HUO NI UTUMWA..

      Delete
  3. umeongea mwana,umeongea sana na uko juu kimtindo wangu., ni kweli kwa sisi Watz kuvaa vile ni issue ila kwa Wamarekani ni kawaida sana Mkuu,napenda comment zilizoenda shule kama hizi
    big up

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad