Stori: MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi
Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.
Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM,yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar.
Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri.
“Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikutarajiwa.
“Hatutakuwa nao kwa muda usiojulikana ingawa watu wengi wamekuwa wakinihoji juu ya hilo lakini watachotakiwa kuelewa ni kwamba hakuna ofisi isiyokuwa na sheria na taratibu za kuongoza watu wake, sasa hao wamevunja taratibu zetu,” alisema Ruge bila kufafanua zaidi.
Alipoulizwa ni taratibu zipi watangazaji hao walizovunja alisema: “Nashindwa kueleza kosa la kila mmoja ila naomba nieleweke kuwa hao watangazaji kwa sasa tumewasimamisha kwa muda usiojulikana wakati tukifikiria cha kufanya. Muhimu hapo ni kwamba wamekwenda kinyume na tulivyokubaliana.”
B12, ADAM MCHOMVU NA DIVA WAMEPIGWA CHINI CLOUDS FM
31
January 15, 2014
Tags
so sad
ReplyDeleteKalipe watu chao kule FIKRA HURU
ReplyDeleteWe msenge gani? kila mahara, nani ss?
DeleteSad for what?
ReplyDeleteBora wafikuzwe mashoga hao...afu Na wewe ruge utakufa kifo kibaya sanaaa jua ilo kila siku nakuombea hivyo kuma wewe
ReplyDeleteMpumbavu ww unamtukana nani.? Kamtukane mama yako alokuzaa....naona ukimtamkia hilo tusi atakuona ww wa kisasa...
DeleteAssnte kwa kunisaidi yaani wananikera hao watu wanao comments na matusi basiii tu
Deleteusenge huo,,,, majembe ndo yapigwayo fitina kumanina Ruge
ReplyDeleteHapo umejitukana mwenyewe hebu soma vizuri sabubu ruge hana K ana Mboo
DeleteMchovu ulifikiri hiyo redio ya baba yako ulimtukana sana dada wa watu jide, ruge na kusaga wanaangalia maslahi yao hawaangalii sura zenu, walishapigwa chini kina fina? Mburula mkubwa wewe.
ReplyDeleteYule Jamaa anayetangaza saizi kwenye XXL simuelewi kabisa yaani anakera kinoma
ReplyDeleteTupa kule, jini la CHADEMA sasa lipo Clauz.
ReplyDeletebila dozen xxl imekufaaaa r.i.p cloudz
ReplyDeleteUmewatimua walipe chao acha usenge
ReplyDeleteKiukweli xxl sasa hivi inaboa kinoma! Huyo presenter sijui ni takataka mmeiokota wapi? Tafadhali ruge rudisha B12 na mchomvu kundini! Hilo lingine limalaya hata ukilifukuza sawa tu, usikute cku hiyo lilikuwa linatombwa tu.
ReplyDeleteHapo arudishwe B12 tu, hao wengine mother Fanta tu, timua kule. Wewe mchomvu, halipo ni hapa hapa duniani. Mtukane na leo Jide basi ili Ruge akuone wa maana, bado Kibonde, Gerald Hando na ile mishakunaku ya leo tena, wanajiona kama wamefika clouds.
ReplyDeleteR.I.P clauds radio mana chumvi imemwagika mboga itakua mbiga tena niyakumwagaiyo hatutakua namaana yalufungua claus kwa ss mana chumv hazipo hahahaha ruge umebug meen.
ReplyDeleteRuge kaa nao pamoja hao vijana muondoe tofauti zenu, ni vizuri mkamaliza hayo matatizo kidiplomasia zaidi kuliko kufukuzana, kama ulishawaonya mara nyingi hawakusikia jaribu kuwapa nafasi ya mwisho watajirekebisha. Ni bora kurekebisha kasoro zilizopo kuliko kuanza na watu wapya kwani kwa kipindi hiki cha mpito vipindi vitaboa
ReplyDeleteGoodbye Clouds
ReplyDeleteMbona akina Adamu mchovu wala hawana ethics za utangazaji kabisa!bora wawatimue kabisa, hawana la ziada zaidi ya kuwafundisha vijana uhuni na uvutaji wa bange
ReplyDeleteDaah wasenge hao mapoz yalikua mengi utafikili wimbo wa mr blue wamapoz wallimbiwa wao acha waonje nao uchungu cz wamewatukana wasanii weng sana kweny kakipind kao
ReplyDeleteLeo mmenikosha kwa kukemea hiyo mitusi mibaya sana. BIG UPA WADADAzi
ReplyDeleteluge mxenge umetowa majembe umeweka vijip chungu iyo redio imesha kufa ufisad mwing redio imekuwa yakikuma .fakar luge ()
ReplyDeleteUmemtusi mamako kilaza mkubwa!!!!...
DeleteKwani clouds nayo radio ya kusikiliza siku hizi?pale wamejaa wasenge na mashoga tupu kuanzia Ruge,Kusaga,Kibonde,Hando na wengine wote wasenge tu.wengine wanasubiria tu siku zao.
ReplyDeleteCkiliza radio iman tu mungu akupe kher
ReplyDeleteMnasklizaga mashoga fm??kwanzio huyo bosi wao adi watangazaji wake wote ni wasengeeeeee
ReplyDeleteruge kuma la mamako
ReplyDeleteHallow...nafsi kitu hatar sana'''heshima kitu muhmu sana ktk jamii'''ukwel utabak kuwa ukwel leo na cku zote
ReplyDeleteRudisha B 12 we Ruge , unadhani kuna mtu atasikiliza XXL tena ! shauri yako
ReplyDeletematusi co msaada kwenu wapenda cloud cha msingi hapo ni kujadili ki utu uzima {kipindi najiunga na mtandao huu(twitter)nilikuta sharti uwe na umri ucopungua miaka 18 kumbe kuna hadi under 14 make wakati wa kubalehe ndo mtu huwa na kiburi} napita tu
ReplyDelete