BAADA YA TETESI KUWA KAFUKUZWA CLOUDS FM DIVA AMETANGAZA KUGOMBANIA UBUNGE 2015
26Udaku SpecialJanuary 17, 2014
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.
Kazi ya kutangaza imekushinda, sasa ndio unaona raisi ukachote mahela huko ya wadanganyika. she...nzi. kila mtu akitaka huo ubunge taifa litakuaje, tutole ujinga wako huko. nenda kagombanie wanaume uko kenya
Mh wasiwasi wangu kwako ww bint, maneno, madaha na vituko vya usiku redion eti tusikie sauti hiyo tena bungeni?. Halafu nasikia przoo kapita kwako, harafu ukatutetee cc mh. Bora hata kama ungekua unasoma taarifa za habari kama AKINA GODWIN GONDWE.
kuna ulazima kwa bunge kutunga sheria upya za sifa na vigezo vya kuwa mbunge.tusipokuwa makini 2016 bunge laweza kuwa la mateja na malaya. Ray c,afande sele, diva, kalapina.
muache akauze nyanya huko !
ReplyDeleteUnahisi bungeni ni baraza la umalaya
ReplyDeleteucmwangalie muonekano na maneno yke
Deletebunge lipi hlo unataka kuwa unadhani siasa ni mchezo wa kuigiza au ni clouds hyo.
ReplyDeletehuyu gaga atasuguliwa na wapiga kura wotee!
ReplyDeleteNenda kwa Mbowe anagawa viti maalum mradi akusugue tu, ukimpiku Joyce atakupeleka Kuwait.
ReplyDeletewe ashakugusa
Deletekomedi
ReplyDeleteKazi ya kutangaza imekushinda, sasa ndio unaona raisi ukachote mahela huko ya wadanganyika. she...nzi. kila mtu akitaka huo ubunge taifa litakuaje, tutole ujinga wako huko. nenda kagombanie wanaume uko kenya
ReplyDeleteBunge la Tanzania ndio linamuhitaji Sana aende kule
ReplyDeleteubunge...my foot mmmhhh hata nkiwa nimelala kura sikupiii
ReplyDeleteHizo ni ndoto zake msimpige maneno!
ReplyDeleteubunge ulishakuwa matako!!!!
ReplyDeleteweee usizani hili ni taifa la mamburuura kams ile redio yenu ilio jaa mashoga bunge gani
ReplyDeletejitahidi kutoa mbunye,kata viuno vizuri kwa sauti tamu ubunge wa viti maalum utapata lakini wa kuchaguliwa na wananchi sahau kabisa
ReplyDeleteSiwezi kukupa Kura yangu Ni haramu kwangu
ReplyDeleteUnataka kupeleka uroda huko huna lolote.
ReplyDeletejmn nachekaje na wadau sasa..!!!
ReplyDeleteTumeingiliwa wananchi, inawezekana kameahidiwa, ukashangaa unakaona kwenyeviti vya upendeleo
ReplyDeleteMh wasiwasi wangu kwako ww bint, maneno, madaha na vituko vya usiku redion eti tusikie sauti hiyo tena bungeni?. Halafu nasikia przoo kapita kwako, harafu ukatutetee cc mh. Bora hata kama ungekua unasoma taarifa za habari kama AKINA GODWIN GONDWE.
ReplyDeleteSwali la nyongeza mh.Loveness Malinzi!
ReplyDeletePombe hzo na maana hamjitambui ndo maana mnabwata na kuboboka, mwachen ni ndoto zake!
ReplyDeleteduuuuuhhhhhh,...........kaz ipo, bunge litaendeshawkwa lugha ya chaga aki ya nan
ReplyDeleteUmesahau kwamba mwaka 2015 hakutakua na wabunge wakuteuliwa sasa ww ni nan atakaye kuchagua!!
ReplyDeleteUtasubir sn mama,tena miaka 800 na nane,labda bunge la machangu
ReplyDeletekuna ulazima kwa bunge kutunga sheria upya za sifa na vigezo vya kuwa mbunge.tusipokuwa makini 2016 bunge laweza kuwa la mateja na malaya. Ray c,afande sele, diva, kalapina.
ReplyDelete