Alisikika mdau mmoja ambaye ni shabiki mkubwa sana wa msanii huyo diamond plutnum akihoji juu ya hali hiyo nakuonekana kukereka .
“unajua wasanii wengi sana wana mama zao na kila mmoja anampenda sana mama yake mzazi kwa namna moja ama nyingine lakini kwa upande wangu mimi nahisi kama nakwazika kwa hili la Diamond , maana kila mahali anaenda na mama yake hata katika shows anazoenda kupiga za usiku yupo na mama yake, sasa ndo kumpenda sana au ???” alihoji shabiki huyo
mbali na huyo yupo pia mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Subira Chacha wakati akizungumza na blog hii , ambaye yupo katika manispaa ya musoma naye alisema kitu kinachoboa zaidi ni tabia ya msanii huyo kuambatana na mama yake mzazi kila mahali.
“Diamond Plutnum ni msanii mzuri sana maana mi mwenyewe ni shabiki wake ila ananiboa kitu kimoja tu ,tabia ya kuambatana na mama yake mzazi kila mahali, duh, inaniboa kiukweli hata kama ni upendo huo wake umepitiliza.”alisema
Naye Blogger Wa Blog Ya Jicho La Mdadisi na ambaye pia ni mtangazaji wa Kituo Cha Radio Victoria Fm 90.6 Kilichopo Musoma Mara ,Bwana Ahmad Nandonde katika hilo yeye alisema haina tatizo isipokuwa sio utamaduni ambao umezoeleka sana kwa hapa nyumbani ndio maana wengi wanaboreka.
“sijaona kama ni tatizo kwa msanii huyu kuambatana na mama yake mzazi kila mahali ,lakini pia inabidi yeye mwenyewe awe anaangalia kama ni sahihi kwa upande wake au la , na pia unajua hili wengi linawaboa lakini ni kwaajili tu haijazoeleka kwa hapa kwetu msanii kuambatana hivyo na mama yake mzazi kila mahali na hasa katika shows zake.”alisema Ahmadi
Diamond Plutnum alipotafutwa kuhusianaa na hili hakuweza kupatikana kwasababu ambazo zilielezwa kuwa ndio alikuwa anarudi hapa nchini leo hii baada ya kupiga show yake huko nchini Kenya .
C dhani kama nitatizo kabisa
ReplyDeleteJaman nawe mange kimambi mpende mama ako hata kama amekufa mbona baba yake anawekaga picha yake . lakin ya mamaako ina maana huna. umeenda kwenye kabuli la babaako uparen umeshindwa kwenda la mamako mbagala Rangi 3 .sijui mamako alikukosea nn mpaka humpend. mbona dina mario mwenzio mamake kafa Zamani tena wala hamjui lakin siku ya mama duniani anawekaga picha yake .We mange mama ni mama hata kama alikuwa mbaya au maskin. Ndugu zako huwa pi nguo za mgao unawapa akina marichui na koku . na wakati wadogo zako uliozaliwa nao tumbo 1 wana hali mbaya. ni hayo 2 dadangu dunia hii
DeleteMwenzetu umezukia wapi? hope umepotea hii c blog yake!! hii ni UDAKU SPECIALLY,blog yake inaitwa MANGE.anywayz peleka umbea wako hukoooooooo...
DeleteMwenzangu mange kimambi anapenda attention eti Mimba yake Madai yake mtoto wake kageuka up and down na eti anakisukari na anaogopa surgery .Eti yupo na top clinic in USA .USA kuna top clinics ?as longer Ina insurance any clinic unaingia na Obama care is working now .
DeleteUmevurugwa ww! kaandika kiswahil huelewi je angeandika kikristu?
DeleteNo one like mum
ReplyDeleteSome mothers are manipulative and controlling and Narcisstic personality disorder.Mzazi mwingine ukisema no anasubutu kusema umelaaniwa wewe.We need to say NO to our parents sometimes .Utaona mtoto akipata Kazi kidogo tu mzazi anaanza kumpangia pesa yake .Parents can be jelousy and compete na watoto wao.Ndio maana mtoto akioa tu wanamwandama mkewe .Muwe waangalifu Sana na wazazi wengine .Narcisstic borderline disorder is a big problem in Tanzania .Mzazi Ana staafu anapewa pesa zake Baada ya kuweka pesa imdaidie maishani anaanza Jenga nyumba Kichwani pake anajua wanangu watanisaidia ( wanako wana majukumu Yao ) .wakiumwa hata pesa ya hispitali hawana ukiuliza pesa ilipo walijenga nyumba .WAZAZI Kama mama yake kanumba (Huyu mama kashajiona ni replacement ya kanumba na anataka ucelebrity ),Justin bieber wazazi wake o education mama ndio alimpa dawa za kulevya na baba kwenda nae Kwenye misele ya magari ,Lindsey lohan mother anaenda club na mwanae drugs na mwanae na kahamia nyumba ya million 5 nani alipe Lindsey .Michael Jackson mpaka amekufa analisha family Nzima alivyowasahau Kwenye miradhi (will) walienda mahakamani wanataka pesa .muwe waangalifu na wazazi Kama hao Jamani angalia kris jenner ( Kim mother mpaka wakwe wanashindwa kuwa na wanawe yeye ni show tuu .Learn how to say No
DeleteMfano wa mtu ambae Hana talent .Ameshiriki miss Tanzania akashindwa ameanzisha biashara ya nywele imeshindikana,Nguo biashara inafifia sasa .Sasa watoto wao wawe beautiful models Jamani .Children sio extension of us parents let kids be kids
DeleteMwacheni dogo ainjoi time na mama yake, angemtekeleza bado mngemsema, kwanza bado hajaoa na hana mtoto.Akishaoa na kuanza familia itakuwa siyo tena, vile vile tuwapende wazazi wetu especially mother .
ReplyDeleteUDAKU NA HAO WENZENU WOTE NI WATHENGE TU,DOMO ANAUJUA UMUHIMU WA MAMAAKE NA NDO MANA YUPO NAE KILA SEHEM NA HAO WASANII WENGNE AMBAO WANASEMA MAMA ZAO WAMEWAACHA NYUMBANI HAYO NI MATATIZO YAO HAWAPENDANI.......WATU WANAJUA MAANA YA FAMILIA SIO MNAROPOKA TU.....MWAYA DOMO NEVER LEAVE YO MAMA COZ AFTER ALL YO THE ONLY PERSON WHO KNOWS WHAT UR MAMA'S HEART LOOK LIKE INSIDE HER BODY
ReplyDeleteNi kweli upendo upo ila si kila mahali hasa ukiwa na mzaz kama mama kuna maeneo mengne haipasw kuenda nae! Ili kuendleza heshima
ReplyDeleteKwann asiende tatizo nn? Mmezoea kuwatupa mama zetu! Acha mama ale maisha
Deletehuyo mama hana kazi ya kufanya ya kumkeep busy ndo maana anaambatana na mtoto wake kila mahali! ushamba tu! na mwambieni aache kabisa ulimbukeni huoooooooooooooo.....
ReplyDeleteujana wake hajavipata hivyo so ni vigeni hivyo kwake lzm achetuke
DeleteAnakaa na wamama wenzake saa ngapi
ReplyDeleteUmbea kumbe mzigo. Hivi kuna watu mnaona bora akae na wamama wengine si mwanae?!
DeleteSioni tatizo coz kwa maelezo ya Dimond kabla hajatoka mamayake alikua anampeleka studio kujumla alimpa sapot sn ili kuhakikisha mwanae anafikia malengo.so soi ajabu hakuanza kutoka nae leo ktk issue za muziki ni moja tu yakumfanya mzazi aelewe umuhim wa alichokua anamsapot mwanae.afu chunguza wanamziki wengi hawana historia nzuri na mahusiano mazur na wazazi wao oooh aliacha shule akaingia makundi ya ajabu! mara anafanya mziki wazazi hawapendi! so hawana ukaribu nawazazi toka anahangaikia mziki! wanapatana baadae sn ni tofauti na Diamond mwachen afanye atakavyo ni maisha yake.
ReplyDeleteWasanii wa bongo achene wivu, na nyie bebeni mama zenu. mother Fanta nyie
ReplyDeleteEvery successful man the is women behind - hata kama ni mama na mtoto lkn ni Women
ReplyDeletesafi sana dogo
ReplyDeletewivu 2 unawasumbua safi sana naseeb mama ndo kila ki2 duniani nyie mlitaka aongozane na nani na wema wasenge nn nyie wengine c hamuwajali hata mama zenu kama linex mama yake anauza matunda barabarani wakati yeye ana uwezo hata wa kumfungulia duka amekalia kuowa wazungu 2 tena anauza matunda hapa karibu na kasulu ttc
ReplyDeleteUsimdhalilishe Mama Wa mwenzio,kuuza matunda ni bora kuliko kuuza mwili
Deletegud chibu ikibidi nenda nae mpk toilet c mama ako bhna izo husda 2 za wanafki..
Deletehakuna jema duniani Huwezi kum furahsha klam2
ReplyDeletebinadamu wanaongeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa ubaya uko wapi mliataka aongozane na nyie
ReplyDeleteJamani mama ni mama no one like mama mwacheni ainjoy matunda ya mwanae jamani
ReplyDeleteISHI UWEZAVYO USIISHI WATAKAVYO HUYO NI MAMA HUTAPATA MWINGINE ZAIDI YA HUYO MPENDE SANA
ReplyDeleteKWANI MZIKI NIBURUDANI KILA MTU ANATAKIWA KWENDA KAMA NI HESHIMA LABDA NI WEWE MWENYEWE UNAVYOJIWEKA KWANI HATA KWENYE MASHUHULI UTAONA WENGINE AMBAO HAWANA HESHIMA JAPO KUNA WATU WAHESHIMA
ReplyDeleteFuck dem
ReplyDeletecyo hivyo 12:34 am cjamdhalilisha ila nimetoa 2 mfano mnisamehe kama nimekosea wadau nilikuwa natoa 2 mfano wa wa2 wenye uwezo wacotaka kusaidia mama zao wala ndugu zao ila linex hamjali mama yake samahani mdau
ReplyDeleteNdo mashart ya mganga afu uchaw wa hivyo kiboko nyota haizim!ila mama atakoma!
ReplyDeletemama ni mama kuwanae unapoona unauwezo wa kuwa nae karibu ,nani kama mama .wivu tu tena kama wewe diamond kioo cha jamii onesha mapenzi na watu waone umuhimu sio tu akifa ndio unaanza kutafuta picha zake za miaka 80 wakati alipo kuwa hai muda wako unatumia kwa maafiki na mambo yako binafsi.
ReplyDeletemama ni mama kuwanae unapoona unauwezo wa kuwa nae karibu ,nani kama mama .wivu tu tena kama wewe diamond kioo cha jamii onesha mapenzi na watu waone umuhimu sio tu akifa ndio unaanza kutafuta picha zake za miaka 80 wakati alipo kuwa hai muda wako unatumia kwa maafiki na mambo yako binafsi.
ReplyDeletehuyo mama ana kosa heshima,kwenda mpaka show ILI AONE UCHI WA MTOTO WAKE;HIZI SHOW NI PONOGRAPHY;HANA BWANA AMEMFANYA MTOTO KUWA MUME;SHAME ON HER:AM ALSO A MOTHER N I HAVE A MOTHER BUT SOME PLACES ESPECIAlly with ur son is a no go zone,the same way u cannot go in ur sons bedroom
ReplyDeleteKabisaaa! Huyo mama should play her part kama mama. Sio kuzururra na vijana wadogo anajishushia heshima. Hana kazi za kufanya? ushamba tu umemzidi. Hebu aangalie wasanii wakubwa familia zao zinaishi vipi. Hachelewi kuanza kukaa mlangoni KUKUSANYA FEDHA ZA KIINGILIO!!!
DeleteBinadamu hawana jema asingekuwa anaambatana nae mngesema anamtenga Mama yake...
ReplyDeleteHivi unafikiri kuambatana nae ndo kumpenda? Kama ndo hivyo mbebe mamako uende nae kazini basi
DeleteNaskia habari ya ndani ya kuwa Mr Domo analala na mama yake ndo shariti alilopewa ila msijienge chuki wadau maana mna hasira sana! Napita tu tufuatilie kwa undani ndugu
ReplyDeleteNo wonder! Huyu mama hajitambui. Ndio ana sifa ya kuwa mama but asitake kutwambia kwamba anampenda mwanaye kuliko wamama wengine. Ushamba ni ki2 kibaya sana
Deletekuna ubaya gani kuwa na mama yako kila unapokwenda kama inawezekana, nyie vipi? yule ndiyo namba one wake, mbali na demu yake!
ReplyDeletemimi nimefuatilia comments zenu wote nimewaelewa vizuri,wale ambao mnaona mama D ni mshamba nimewaelewa ambao mnampongeza nanyi pia nimewaelewa ni maoni mazuri sana hongereni sana,nami niandike yangu ni vizuri sana kuambatana na mama yake kikubwa mama mwenyewe analipa bado anadai haswa ndio kipindi chake hiki,mtoto wake ni nyota wa Tanzania kwa sasa,mama endelea kuambatana na mwanao kila kona hukuvunja sheria yoyote hapa Tanzania
ReplyDeletenyie udaku ni wangese mmetolea mifano hao mapumbu 3 aya hesabu comment wangap wameponda na wangap wame unga mkono cjaona kosa kwa domo sema wivu wa kitanzania unatusumbua
ReplyDeletehuyo diamond kweli anampenda mama yake lovel mama
ReplyDelete