BADO SIJAAMUA KUWA NA MPENZI KWA SASA

Young Killer anasema pamoja na umri wake kumruhusu kuwa mrembo katika maisha yake, bado hafikirii kuanzisha uhusiano na msichana kwa sasa.

“Umri wa kuwa na mpenzi nimeshafikia lakini sasa hivi nafanya mambo yangu halafu baadaye naamini ntakuja kufanya hayo masuala, so sasa hivi najipanga kwanza,” Killer aliiambia Bongo5. “Kusumbuliwa nasumbuliwa sana tu sema kuna msemo mmoja ambao nakuambia wa Fid Q ‘Usiache ulichotaka maishani ghafla tu na kufuata kile ambacho umetamani’. Nimekuja kwaajili ya muziki, nilitegemea utanipa vitu vingi ila sio mademu tu.”

Wakati huo Handsome Boy huyo asiye na matunzo, amesema video ya wimbo wake ‘Mrs Supastaa’ iliyoongozwa na Adam Juma ni moto wa kuotea mbali.

“Ni video kali, naamini katika video zangu zote ile ndio inaweza kuwa video yangu ya kwanza kufanya video kali. Naamini zingine zitakuja ila ile kiukweli kali yaani,” alisema. “Nategemea mashabiki wangu wataipokea vizuri kwasababu ni video nzuri, binafsi nimeridhika nayo, sijawahi kufanya video kama ile.”



CREDIT: BONGO5
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyege lakini mbaya zikichoka mbele zinahamia nyuma itakuaje itakapo fikia hivyo utakua choko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umri umefika ila nyege au ham ya madem hana, basi huyu atakuwa choko, sio rahisi kuacha kupiga miti madem kama uu mzima na rijali, unakula unashiba, hata wanyama na ndege na wadudu wanalijua hilo itakuwa wewe dogo tena na vijisenti unavyo! mawili hapo either unadanganya au wewe tayari umaenda kwenye u aunt basi.

      Delete
  2. young killer kama utakutana nahii commet. nakushauri a cha kwanza mambo yamapenzi maana ukiyaanza tuu haurefuki tenants utakosa kimo

    ReplyDelete
  3. Ndo maana waafrica tunakufa kwa ukimwi ovyo...mtu akipata vijisent na umri ukiruhusu na aanze ngono zembe...isee mmenishangaza sana mliocomment hapo juu. Africa akili mbovu sana...

    ReplyDelete
  4. Muafrica hana anachowaza zaidi ya ngono??

    ReplyDelete
  5. Nyote ovyoo kabisa baada ya kumshauri aoe mnamshauri afanye zinaa...Dhambi ulizonazo mzigo kwako halafu unatafuta dhambi nyengine kwa kumshauri mtu afanye zinaa...Ukimshauri mtu afanye zinaa na wewe pia unapata dhambi

    ReplyDelete
  6. Mlio coment suala la nyege kuhamia nyuma mnaupungu flani, dogo yumo dhambini bado anashauriwa aingie zaidi et kisa kanashika vjcent. Jina lenyewe tu la dogo halieleweki nendeni mkamtafute MUNGU wapuuz nyie, mnamtolea mf ya wadudu na wanyama, wao hufanya tu wakati wa kuzaana na si tamaa za kipumbavu.

    ReplyDelete
  7. Mlio coment suala la nyege kuhamia nyuma mnaupungu flani, dogo yumo dhambini bado anashauriwa aingie zaidi et kisa kanashika vjcent. Jina lenyewe tu la dogo halieleweki nendeni mkamtafute MUNGU wapuuz nyie, mnamtolea mf ya wadudu na wanyama, wao hufanya tu wakati wa kuzaana na si tamaa za kipumbavu.

    ReplyDelete
  8. Nilisoma nae alikua ana makalio mpaka mwalimu akawa anamuuliza ww hv huwa wanakufanya nyuma nn??!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad