
Bond alisema kwamba alimpigia simu Jack na kumueleza Ishu hiyo kwani alikuwa miongoni mwa wasanii walioonekana kufaa kucheza filamu lakini mwanadada huyo alimsonya kwa dharau na kumtakia manno machafu na mazito huku akisema hana shida na visenti kama milioni mbili.
“Siongei kwasababu Jack amekamatwa huo ndiyo ukweli.alikataa katakata kupokea pesa hizo na kudai kwamba ni vijihela kwake ambavyo haviangaikii kwa kucheza filamu. Alisema eti mi nimeona hela milioni mbili??” Alifunguka Bond
“Milioni mbili ni pesa nyingi sana kumlipa msanii wa kike hapa Tanzania ili acheze filamu tena vipande vichache. Wasanii wanalilia nafasi hiyo. Nilisikitika sana kwa mtu kama Jack ambaye hana jina kubwa kwenye filamu kukataa tena kwa maneno ya dharau.
“Kukamatwa kwake huko kumenipa picha fulani. Dada zetu wengi wana matatizo sana unapowahitaji kwenye filamu kwasababu wanadai wana pesa nyingi. Hivi kupokea milioni mbili yangu na kubebeshwa mzigo kisha kukamatwa kipi bora??. Alimaliza kwa kusema hayo Bond
acha usenge unatunga uongo
ReplyDeleteungekua uongo asingejiraja jina....acheni kuntetea uyo punda mxeeew....atoke basi aje akanushe
ReplyDeleteMuongo bwana .... kwani jackie anajua kuigiza???? Ana experience gani mpaka ampe 2m ....
ReplyDeleteULIKUWA WAPI KUYASEMA HAYO SIKU ZOTE? UNAKUWA KA MWANAMKE BANA,HADI MTU APATE SCANDAL WE NDO UJITOKEZE NA MALALAMIKO YAKO YA KISENGE! TENA NA UNAVYOSUKA HIYO MINYWELE INAWEZEKANA WE MTOTO SI RIZKI KABISA! WASTARA KAKUSHINDA SASA HIVI UNATAFUTA KICK KUPITIA KWA JACK! KWANZA MTU MWENYEWE HAMNA HATA MTU ANAYEKUFAHAMU HAPA BONGO! THEN UNAJIPA JINA KUBWA,ETI BOND,UNAZIJUWA SIFA ZA MR BOND WEWE,KASUGUE GAGA HUKO THEN UPANDE KITANDANI!
ReplyDelete