BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU KWA KUWAGONGA

Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.


Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. poleni wote walioathirika na ajali hiyo

      Delete
    2. Poleni sn wte mlopatwa ma hangs hlo

      Delete
  2. Jaman tuache kujichukulia sheria mkononi

    ReplyDelete
  3. aliyegonga ni dereva je mali abiria atafidia nani ???? hii ndio Tanzania

    ReplyDelete
  4. Bodaboda wengi si wote hawajui sheria....inabidi wapewe elimu. Mungu awarehemu marehemu..

    ReplyDelete
  5. Hawa wanyaturu hawa watu wasingida hawa looo yaan sheria mkononi mara ya pili ss mnachoma gari moto?kwann msifuate sheria?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mawazo finyu na ujinga mtupu, kuchoma gari ndio suluhu ya ajal??,
      sheria mkonon sio sawa hâta kidogo, huyo bodaboda ndie alijichanganya hakufuata sheria za barabarani

      Delete
  6. wanyaturu hatutaki mchezo. kwetu msimamo ndo msingi wa yote. ukiamua umeamua hata waje watu mia acha wakuulie hapo hapo ulipoamua. ugonge ndugu zetu tukuachie basi lako ili na kesho ligonge wengine.??????????????????? gonga na sisi tukugonge. full stop. anyampaa big up sana mwajifya ino.

    ReplyDelete
    Replies
    1. haaaaha kweli mdau. dawa ya moto ni moto

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad