Nimejaribu kupitia articles chache zikiwemo hizi za Josephat M. Rugemalira, Line Kjølstad Gran, E Sa, Casmir M. Rubagumya, na nyingine kadhaa, lakini nikaoanisha na tunayoshuhudia katika ulimwengu wa mtaani, kiukweli naweza kuwa na a very generalized conclusion kuwa
1. Wanafunzi waliosoma shule za english medium kuanzia primary wanafanya vizuri zaidi kitaaluma katika elimu za juu
2. Wanafunzi waliosoma english medium schools wanafanya vizuri zaidi kwenye interviews za kazi zinazofanyika kiingereza
3. Kwa kuwa mambo mengi ya kazi, research nk yanaingiliana sana na lugha ya kiingereza, watu waliosoma katika english medium schools wanafanya vizuri zaidi
5. Wanafunzi waliosoma katika shule hizo za kiingereza HAKUNA walichopoteza katika uelewa wao wa lugha ya kiswahili, as long as waliishi hapa Tanzania
6. Wanafunzi waliosoma katika shule zinazofundisha kiswahili hawajawa na any added advantage katika matumizi ya lugha ya kiswahili katika kazi, elimu ya juu nk...
USHAURI: Serikali iamue kuwa lugha ya kufundishia iwe kiingereza kuanzia primary
Serikali Ibadilishe mtaala wa somo la kiingereza ili limuwezeshe zaidi mwanafunzi kumudu kuongea lugha hiyo
Karibuni kwa mjadala..
By Tuko JF
CASE STUDY:WALIOSOMA ENGLISH MEDIUM NI WAZURI KULIKO WALIOSOMA SHULE ZA KAWAIDA
7
January 18, 2014
Tags
Inabidi serikali ishuhulikiye swala hilo kabisa, dunia nzima utakapo fika ukiwa unaongea kiingereza hautasumbuka saana
ReplyDeleteJust nonsense, Chinese Korean Japanese Russian brazilian don't speak english , kuna mijitu ina zile akili za kitumwa .
DeleteJust nonsense, Chinese Korean Japanese Russian brazilian don't speak english , kuna mijitu ina zile akili za kitumwa .
DeleteWewe mwenyewe inno umeandika kw kiingereza kwann usiandike kw kiswahili?, ni kweli tuboreshe somo la kingereza mashuleni
ReplyDeleteKinacho niuwaga zaidi unamkuta mtu anaelemu kasoma sanaa,anaandika kingereza vizuri, ila subiri aonge mama nangai utazimia! Why wabongo wasomi English yao ni mbovu!!? Aibu! Nyerere aliwaharibu...eti kiswahili, wakati unakiacha airport kwenu hupandi nacho ndege! Unakuta mtu kasoma na kafanya vizuri shule na anavyeti, ila anakose kazi kwa sababu hajuwi kuongea kizungu vizuri! Ze ze nyingiiiii lol
ReplyDeleteLaiti kama serikali yetu ingekuwa inatuthamini kuanzia chekechea mpaka phd ni kiingereza kitupu. Wapi dunian utaongea kiswahili ukapata kazi zaidi ya tanzania. Watoto wa viongozi wenyewe wanawapeleka international schools ili wawe wabunge na mawaziri baadae,sisi tunakalia uvundo wa kuongea kiswahili. Kinaniboa sana. China na korea si sawa na tz,uchumi wao juu hawategemei kusaidiwa kama tz....English ndo mpango...
ReplyDeleteww wa mwisho umeongea pointy
ReplyDelete