CCM YAKANUSHA KUANZISHA HOJA YA MAWAZIRI MIZIGO

Chama Cha Mapinduzi CCM chasema haikua hoja yake kumtaka Rais kuwafukuza wale walioitwa “MAWAZIRI MIZIGO” bali kuchukua hatua za kurekebisha mapungufu yaliyokuwepo chini ya mamlaka yao. 

Chasema Kufukuza inaweza kuwa ni njia ya kutatua tatizo lakini sio njia pekee.

Je uonavyo wewe, kufukuza mawaziri ni njia sahihi ya kutatua matatizo uliyonayo?
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maatzo yaliyopo yenyewe hayatatulik

    ReplyDelete
    Replies
    1. kula tano mdau, unavaa mkufu size ngapi?

      Delete
  2. Msiwe ka cdm wanafukuza mpk chama kimekosa mvuto

    ReplyDelete
  3. Kwa mazingira yaliyokuwepo, kwa ajili ya kukijengea chama imani mbele ya macho ya wananchi hasa ukizingatia tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.ndio ilikuwa muhimu kuwatosa mawaziri hao.
    kitakachotokea sasa,
    1.wananchi hawatokuwa na imani tena na viongozi hao wajuu ktk chama.
    2.wananchi wamejengewa hisia na kuamini CCM ni chama cha kulindana na hakina dhamira ya dhati kutatua matatizo yao.
    3.sababu za mfumo mbovu bado haziitengui CCM ktk hili.kwani ni chama kilichokuwa madarakani tangu uhuru, ni vipi kisibadili mifumo hiyo.
    hivyo kuwatoa kafara mawaziri hao ndio lingekuwa jawabu rahisi kabisa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad