CHADEMA WAFUNIKA MBEYA.ILA STAILI YAO MPYA YA KUBEBA MAJENEZA YAACHA WATU MIDOMO WAZI
21Udaku SpecialJanuary 26, 2014
Hii Staili ya kubeba majeneza sijui wameitoa wapi....kwa upande wangu naona si sahihi na inatisha sana....mweee je wewe unasemaje ...Siasa na majeneza wapi na wapi?
Kinacho kutisha nini hapo, hujawahi ona jeneza, hujui kuna kufa au au ona maiti? basi umri wako mdogo unatafuta nini kwenye majukwa ya kisiasa. kaa home upewe uji.
Muende Ikulu 2015! Huku mmebeba Misalaba? Kwani ikululu kumekua kanisani?? Ama kweli njia ya Mungu hamfichi mnafiki. Na hilo jeneza lingebebwa na vyama vyengine ungeona wanaharakati wakinafiki wakijitia kupiga kelele!! Kweli hicho chama tumekishtukia ni mfumo K.
weee ichukie tu Chadema, lakini utaipenda tu siku moja fisadi mkubwa weee! unafikiri utakula mali za uma mpaka lini? kuna mwisho wake kaka au dada!!!! PEOPLEEEEEEs POWERRRR!
Kinacho kutisha nini hapo, hujawahi ona jeneza, hujui kuna kufa au au ona maiti? basi umri wako mdogo unatafuta nini kwenye majukwa ya kisiasa. kaa home upewe uji.
ReplyDeleteAtakua ccm uyu
ReplyDeleteVERY GOOD CHADEMA
ReplyDeletevery good chadema or very good christ. na misalaba barabarani mnakwenda wapi ?
DeleteNchi ni lazima ikombolewe, kwa namna yoyote ile. Aluta continua chadema.
ReplyDeleteNANI AWAPE NCHI WATU WABINAFSI
ReplyDeletewe pia ni mbinafsi unaongelea maamuzi ya watu kana kwamba wewe ndiyo injini ya maamuzi yao
DeleteWatasubiri xna nchi wataickia magazetini au radioni Kheeeeee hao c viongozi n majanganaizeshen
ReplyDeletewaswahili walisema subira yavuta heri
DeleteIlo jeneza watamzika silaa 2015,watasubiri sana nchi hawaipati n'gooooo
ReplyDeleteHaya sasa majanga
ReplyDeleteHeeee huyo zito kafariki lini?au ndo uchuroo
ReplyDeletewazushi tu hao
ReplyDeleteslaa ndo anachuriwa kifo mwakani ndo atawekwa kwenye ilo jeneza. Hamna atakaewapa nchi hao wendawazimu watasubiri sana meli airport.........
ReplyDeleteWatu wa mbeya mjitambue msiburuzwe na siasa.za wacheza kamari
ReplyDeleteMbeya Kiboko Iyo Ni Stail Yao Maana Ata Kwenye Mechi Kati Ya Mbeya Ctiy Na Tz,pronsoni Kwenye Muzunguko Wa Kwanza Walibeba.
ReplyDeleteChadema Lazima Tuende Ikuru 2015
ReplyDeleteMuende Ikulu 2015! Huku mmebeba Misalaba? Kwani ikululu kumekua kanisani??
ReplyDeleteAma kweli njia ya Mungu hamfichi mnafiki. Na hilo jeneza lingebebwa na vyama vyengine ungeona wanaharakati wakinafiki wakijitia kupiga kelele!! Kweli hicho chama tumekishtukia ni mfumo K.
Labda muongoze mikundu yenu sio hii Tanzania....yaani nawachukia chadema kumanina zenu na siasa zenu za chuki!
ReplyDeleteMtamzika Sugu" wajinga wakubwa!
ReplyDeleteweee ichukie tu Chadema, lakini utaipenda tu siku moja fisadi mkubwa weee! unafikiri utakula mali za uma mpaka lini? kuna mwisho wake kaka au dada!!!! PEOPLEEEEEEs POWERRRR!
ReplyDelete