Web

DAVID MOYES AVUMILIKI ACHEZEA KICHAPO CHA MBWA MWIZI TENA

Huyu kocha wa Man u naona amekuja na Gundu kubwa kweli .....Sasa hivi Washabiki wa Man hatuongei kabisa mbele za watu hata tukicheza na team kibonde tunawasiwasi wa kufungwa ....Yaani sijui anataka kutupeleka ilipokuwa team yake kabla ya kuja Man u....Jana tumechapwa tatu moja bana sitaki kuongelea hilo sana ila jua tulifungwa ndio tumefungwa na Etoo...
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. edited picture...ata mtoto mdogo ataona hilo...anyway,asante..tumepata ujumbe...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad