DIAMOND PLATNUMZ JANA ALITEKA JIJI LA NAIROBI, AHOJIWA NA VYOMBO VYA HABARI KARIBIA VYOTE

 Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na

Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari
waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
 Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
 Mahojiano na Kiss Tv yakaanza






 Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri




 Mahojiano yakaanza na wwaandishi wamajarida  na magazeti



Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamaa kweli yuko juu tumkubali tu

    ReplyDelete
  2. Mbona kichochoroni!Kama star antakiwa awe Sheraton,Holiday Inn etc au kubana matumizi!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujielewi, pumbavu

      Delete
    2. Kwel hajielew...wivu wao tu...

      Delete
  3. hard work pay... big up!

    ReplyDelete
  4. Nampenda diamond! Hata citizen tv walitaman kuwa naye jana baada ya Nipashe....Ni maarufu kweli. Wanaomchukua wanamwonea wivu...

    ReplyDelete
  5. Wap mzee wa kibamiaaa....naona wivu utakuua....mkuu kakukimbiza hom kwako....utajutraaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad