Huu ndio ujumbe aliouandika msanii bonge la nyau kupitia page yake ya facebook DIAMOND TAKE CARE WACHA KASHFA.
Guys hivi huyu domo Diamond anamtaka kitu gani msanii Alikiba? Tokea juzi amekua akimzungumzia katika Media kwa mliofatilia Interview yake baada ya kusamehewa na kituo cha Channel Ten jana usiku aliropoka maneno haya kuhusu Ali Kiba
Diamond: "Unajua kuna watu hawataki kukubali kama mimi ni zaidi yao kuanzia muziki wangu mpaka maisha yangu, mtu anaulizwa Twitter hivi mkiamua kufanya nyimbo moja na Diamond hamuoni kama itapendeza sana et, anajibu never ever haiwezi kutokea mimi kuimba na Diamond. Badala angekubali apate Kick nimrudishe katika muziki analeta dharau wakati hanipati kimuziki mpaka kipesa. Muziki wake hauna tena soko istoshe nasikia asahivi amejiunga na mfuko mpya wa kutoa mikopo PRIDE unaitwa FAIDIKA NA PRIDE kakopeshwa kajenga nyumba. Sitaki kua mnafiki namuweka wazi ni Ali kiba"
Duh asa Diamond kwani mtu kujiunga PRIDE akakopeshwa ndio tatizo? Kuna matajiri kibao mjini humu wanamaisha mazuri kwa ajili ya mikopo. Zote chuki @Diamond kama nawewe unataka mkopo si ukajiunge? Sio kumpiga majungu mwenzako, watu kibao tumejiunga na mikopo tumepata ndo inayotusaidia, kama nawewe unataka jiunge na PRIDE tena usisumbuke bofya hapa: http://pride-tanzania.wapka.mobi ukajiunge utapatiwa mkopo sio kumpiga vita mwenzako.
DIAMONDI APEWA MAKAVU NA BONGE LA NYAU KISA KIKIWA NI MAISHA YA ALIKIBA
55
January 26, 2014
Tags
we kweli bonge la nyau yani unaingilia vitu ambavyo avikuhusu kabisa au na ww unataka kick pumbavu ya kaisali muachie kaisali.
ReplyDeletewee mamayo atake kick ya nn yeye pia ni star huyo domo kalabo zimeisha nn ally kiba amesha sema no yy aseme ukwel tu kwa kuimba hapati kiba ila kwa kupiga picha na magari ya watu yupo juu
ReplyDeleteBonge la nyau big up elimisha kaka bora kukopa ajili ya life yako kuliko kuazima magari ya chifu kiumbe kupiga nayo picha kisha ukadanganya jamii ni gari zako
ReplyDeleteA wise word., congratulation to bonge la nyau.
ReplyDeleteKusema kweli Diamond hampati Ally Kiba kwa kuimba! Nampenda sana Diamond ,ila Ally Kiba kwa kuimba ni balaaa. Sioni sababu ya wao kulumbana, kuhusu Lameck a.k.a Bonge la nyau amezungumza kuhusu hili swali kwa sababu Ally Kiba ni mtu wake wakaribu sana kama sio ndugu yake! Ally Kiba ni number 1 kwa kuimba ila watu walio mzunguka walimdhulumu sana, ila diamond ana watu wanamungoza vizuri ndio maana anamaandeleo.
ReplyDeleteI like ur opinion...
DeleteGood opinion nimeipenda
DeleteAsanteni :)
DeleteYaah.dimond mshmba na ni mshamba na limbukeni hata kwa madem.so cshangai kuanzisha chuki kisengesenge na za kike kwa ali k. Ali k 4real young star.salut
DeleteMwenzake Ally K yupo kimya mbona amtaje taje? Seems Kiba is a threat to Him...kila mmoja afanye kazi yake kivyake maana vyote nivya Dunia tu!
ReplyDeleteMbona hata Ali alimchokonoa D alisema hatofanya collabo maisha yake yote kw hiyo hao Ali na Dai wanajuana kwa hiyo D naye ana uhuru wa kuongea kama Ali alivyoongea kuwa hatofanya collabo naye
Deletebonge lanyau hiyo imekaa poa sana mwambie huyo mkundu Domo Aache kuropoka amshukuru Bob junior kumtoa kimuziki
ReplyDeletehuyu anaejiita bonge la nyau ndo mpumbavu wa akili kabisa tena anamambo ya kisenge kuna siku tulifika kitaa kwao mimi na mwenzangu tulikuwa tunaulizia baucha record alisema hapajui na wakati kumbe wanakaa karibu istoshe ni majirani sasa kama siyo wivu na usenge ni nini tena anajibu kwa nyodo fala sana we mtoto
ReplyDeleteBonge la nyau a.k.a big pussy w unahates tu huna lolote mbona ali kiba amecool tu
ReplyDeletenyie kuma nn hapo juu,baba yko akpondwa utakaa kmya mabwege nyie?!
ReplyDeleteTanzania bila matusi inawezekana??
Deleteally k anajua kw TZ hii hakuna mwngne.
ReplyDeleteHivi umbea ni nn? Usinipe jib
ReplyDeletehahahahahahahaha unapoza musengeee hahahahaha koment znachekesha
ReplyDeleteMambo gani ayo ya kufatilia maisha ya mtu? Kila mtu ana style ya maisha yake mbaya ni kuiba lakini kukopa mbona kawaida sana tu........, aache piriri.... nyingi afate mambo yake kama vp akachonge domo lake kama maiko jackson alivyotengeneza pua.
ReplyDeleteAll k ndo nomaaa uyo dai domo akae kimy
ReplyDeleteBBBBbbbbbbbbig up! Bonge la nyauuuuuu muelekeze kijana huyo maana aelewi alipotoka anaangalia anapokwenda tuu tena anaendekeza sifa na starehe ajiangalie maisha sio majivuno atambue utu pia kama kumfikia ali kiba $ real asahauuuuuuuu muulize kama ajawai kucheza nyimbo za ali kiba Disco pindi alipokuwa Dogoooo kwanza hata BOb Junior mwenyewe yupo juu Diamond akasomeee Mziki kuhusu pesa ni bahati ya kila mmoja sio kwake tuu yeye zali limemuangukia hata muuza mkaa akiangukiwa na ilo zali utanua vile vile.............DomoBanju kaa kimyaaaaa
ReplyDeleteBY: me masikini wa kutupwa lakini nina mitazamo kuliko wewe pumbavuuuuuuuuu.........eti una ji proud.......iiiihihihihihii limbukeni wa pesa utamjua tuuu wanaume wenzio wanazisaka kwa jasho lakini wametulia awajisifiiii.......mscshiiiiiiiiiii......
Diamond aache maswala ya kidwanz kumsema sema mwanaume mwenzako so ishu
ReplyDeleteWhy doesn't he tek a gud example 4rm mr.nyc.....the wy he usd 2 liv n rock lyk him....??? So asimkosoe mwenzake kwani...wot cmz around goes bak around!!!
ReplyDeleteAli Kiba ni mtu poa sana kawatoa wengi mfano Ommy Dimpoz lakini anachukulia poa.Diamond kashirikishwa na Ney wa mitego''Mz iki gani'' ameugeuza wimbo wake kila show yake anauimba.Ali Kiba alipewa leading vocal na R Kelly kwenye 8one song mbele ya wakali kibao kama Fally Pupa.Diamond ameingia gharama kubwa kuomba na kufanya collabo na chipukizi wa nigeria Davido.Joseph Chamiliion ndiye msanii tajiri East Africa lakini ndiye mnyenyekevu sana kwa watu kwani wao ndio wamempandisha.Nina uhakika ukitoa Albert Mangwea,Ali kiba ndie msanii anayependwa sana tanzania kwani hana matabaka wala makundi yeye pekee na muziki wake kimya kimya.Tatizo lake kutokuwa na kundi la ruge,tale,fella au anaconda kwani muziki wa bongo unamilikiwa na makundi haya kupata airtime.
ReplyDeleteTrue say!!..big 5 to u
DeleteUkkopa c unazrudsha au huwa wanapewa bure,
ReplyDeletehyo n njia mojawapo yakutmza malengo yakusmamsha MJENGO ALL K, komaa achana na huyo Boya
Kukopa ni njia mojawapo yakufikia malengo/dreamz za watu kbao ambao wanapenda wawe na MJENGO
ReplyDeleteKwan ukkopa ndo unapewa bure?, Si utarudsha huo MTONYO WAO!
So Tabia hzo kama za DIAMOND ni zakike barazan..
NYie WooTEE mNAemPOndDA Diamond mNAROHO mBaya HaMpeNdi MaENdelEo Ya WenzeNU hUo UmaSiKINi Wenu NDIO uNAkufaNYEni MuWe na RoHo MbaYA.
ReplyDeletekWANZA Ali K angelikuwa MStaarabu angalikubali tu MAANEDEleo ya MweZiWe sio ''Ahh Never ever Kuimba Na Diamond KUMAMAYE hana lolote msende mmoja Naseeb mkitaka msitake ndio Yupo Juu haanguki Ng'o! nyie Vibaka Ropokweni tu Masenge wakubwa.
We nahisi utakuwa unafirwa.... fuckin gay!
DeleteHakuna anayetaka Diamond aanguke tatizo lake anakuwa limbukeni kupita kiasi wa mafanikio.Asimilia kubwa ya watanzania wanategemea mikopo zikiwemo serikali anapoponda mtu kuchukua mkopo na kufanya maendeleo ni shida.Pride inawasaidia wengi hasa akina mama wakisikia kuwa domo kaiponda hawatafurahia.Joseph Chamilione yupo kwenye orodha ya wasanii 10 africa kwa kipato lakini ni mnyenyekevu sana kwa mashabiki na wake ndio maana anapendwa sana na anazidi kufanikiwa tena bila kutegemea scandal zozote.Nyimbo zake zinaongea na aimbi habari za mademu na majina yao.
ReplyDeleteHasara roho pesa makaratasi,huyu domo limbuken tu.
ReplyDeleteuwezo na bahati ni vi2 viwili tofauti! Unaweza ukawa hodari wa ki2 flani ila ucpate bahati ya kufanikiwa sana kupitia ki2 hicho. Wote 2najua Km K 4real ni mkali zaid ya wote but hakupata bahati km ya Dimond. 2nakubal km dimond nae hodar ila hamfiki K 4real. So kufanikiwa kwa dimond icwe 7bu ya kuleta dharau! Hata uko dunian wako walio wakal zaid ila hawakupata bahat ya kupendwa! Nani asiekubali km MARADONA NI ZAID YA PELE? Ila anaependwa ni pele! Sm thing happen kwa Alikiba na dimond! nimtazamo 2 muskacrike washkaj haya ni mawazo 2!
ReplyDeleteMwenzang hapo juu umesema maneno ambae hata raisi hawezi akayasema.. Mwanangu kweli unaishi Bongo wewe?hebu toka hapo njoo umalize malengo yako uwarabuni.. Nice comment man.
ReplyDeletealy kiba yupo juu jamani hata kwa nn domo ampati aly kiba na kukubali sana.
ReplyDeleteMalaya mnaongea kama mmesikia hiyo interview ya Diamond.. Hawa wrote wanajuana beef lao la kimya kimya ila wapambe salsa ndio wanapata mgongo wa kutokea. Mkubali tu kwa sasa Domo yuko juu.
ReplyDeleteDomo shoga sasa anataka mpaka dick ya alk
ReplyDeleteUzuri wa sura na sauti kweli Kiba yupo juu sana.. Biashara ya muziki na mafanikio yake Diamond yuko juu mbinguni.. Kiba amezunguka USA na Ulaya akiwa na G-Lover mjombaake Bob Junior akirudi Bongo hana kitu na yeye hakuwa mlevi wala Malaya. Kolabo name R-Kelly Kiba hakupaswa kurudi na kupoteza muda kutoa nyimbo na kina Bonge la Nyau.. Alikuwa sasa hivi level za kina Fully I pupa, 2face, anawatafuta kina D'Banj.. Kiba historian itamkumbuka kama mmoja wa wasanii wazuri Bongo.
ReplyDeleteLakini huu ni wakati wa D.. Hata mkikataa ila Kiba ana kazi kubwa ya kufanya ili afikie level ya sasa ya D.. Hivi kweli Kiba hana watu wa kumshauri njia za kupita au ameridhika
Diamond maarufu kama Platium ama Sukari ya warembo kama unavyo jiita kuwa na heshima kwa Ali Kiba kama huwezi kuwa nanidhamu maisha siyo kujigamba na kudharau wengine. Kama mtu alikudharau na wewe usimdharau pia hii itakupa heshima zaidi, pesa unayo pata leo pengine waweza usiipate kesho jitahidi kuwekeza na kufungua miradi mbali mbali. Najua hamuwezi kufanana kimuziki na kimapato pia cha msingini nidhamu najuhudi katika kazi wote watz chuki tuachane nazo..
ReplyDeleteKama Diamond anatembelea nyota ya Wema basi ampe msanii wake Mirror au Martin Kadinda na Petit Man nao watoke kimziki wapige pesa chafu. Au kama uchawi basi mganga awatoe wanawe na ndugu zake..
ReplyDeletehapa nina hasira kumamako domo
ReplyDeletetuachie KIBA We2
D0m0 ka pakacha kwanza mchawi huyo ndo kamroga ally kiba nani asie jua simpendi kama choo cha shimo na hilo domo ka kopo la mkojo
ReplyDeleteKama mziki no uchawi basi watoto wa waganga wangekuwa masuper star bongo na maisha mazuri. Hivi unatokaje kufanya kolabo name RKelly halafu unakuja kupotea ktk game? AllyK kajiroga mwenyewe.
DeleteAnatoka kufanya collabo na R Kelly anakuja kutuimbia anapenda kula mpaka usiku anajamba kweli?
Deletepamoja sana bonge la nyau mchaneuyo malaya wa qchifu
ReplyDeletemnakachukia sana aka kajamaa , ila tui la naz litajulikana na maziwa
ReplyDeleteAli Kiba hajawahi sema domo kamroga,alisema amekaa kimya kuangalia upepo kwani mziki una mambo mengi.Ukweli lazima uwe kwenye kundi la Ruge chini ya wasaidizi wake Tale na Fela au Anaconda ya Jide na Jay ili kupata promo na airtime za kutosha pamoja na show za ndani.Kiba ana kipaji na kazi anaweza na anajitambua na hana makundi wala matabaka
ReplyDeletediamond msenge tuu we kaziyako kubadilisha kuma ndo inayokufaa fala wewe unataka kujilinganisha na ALI KIBA aaaah wapi wewe bwege tu kwa kiba cz kiba anasauti bana yani wewe hata OMMY DIMPOZ humfikii kwa sauti ya kuimba wewe usihadaike na magari ya kina chief kiumbe shauri yako utafirwa
ReplyDeleteeti kwan saa hz saa ngapi jamani
ReplyDeleteKama ni kweli hao wote wana makosa sababu Kiba kaanza kusema kwamba hatoshirikiana wimbo Na Diamond kamwe alipoulizwa..... Na Diamond kaamua kujibu kwa style hiyo kwa hiyo Kama lawama wote wana makosa..Halafu katika ukweli jaribu mtu kuongea ukweli hata Kama unampenda..
ReplyDeleteKiba kaanza Na Diamond kamalizia,lakini anayemalizia ndo anaonekana mbaya siku zote,hivi Kama we ungekuwa Diamond maneno aliyoongea Ally Kiba ungeyafurahia au?
ReplyDeleteDomooo! Amekosa pa kupatia kick kuma yako domo ww unako elekea utatembea na mama yako shenz
ReplyDeletebonge la nyau kuma tu na shoga kama bob junior tu!
ReplyDeletejamn sikatai domo yupo juu na anahela na pia km kiba alixema hawez kuimba naye hiyo ni mbaya na lkn pia hatujui xababu ya kiba kukataa kuimba na domo..tatizo ni kwa nn domo aongelee maisha ya mwenzake...kwan kukopa kuna koxa...kinachotakiwa ni yy ajifunze aekeze wakat huu yuko juu akumbuke yaliyompata mr nice....na mkatae mkubali ally k yupo juu miaka 2000000
Deletewe are talkin bout INTERNATIONAL ARTIST ( ALI KIBA ) AND LOCAL (DOMO) k 4real is the permanent icon in TZ km ilivyo kw JIDE na AY.
ReplyDelete