Web

DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS

WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha.

Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kurudishwa ilikuwa Ni lazma mana wangedakwa fasts na redio zngne hayo majembe nayakubali saaana! Babaa joniiie,B12 na Diva your applicable! Well come back

    ReplyDelete
  2. Dada diva ubunge vip?

    ReplyDelete
  3. Ruge na B12 ni ndugu, mama yake Shani (B12) na mama yake Ruge ni ndugu wa damu, hao wengine wamshukuru B12 wameponea humo humo

    ReplyDelete
  4. Visa mwanzo mwisho!

    ReplyDelete
  5. Tupeni umbea wa chagabib wa prezoo

    ReplyDelete
  6. Watu wengne wanaropoka tu sijui wana uhakika gani kwamba walikua wamepigwa chini

    ReplyDelete
  7. Hayo ni majembe ya ukweli watutulikuwa tukikilizia tu radio ziko nyingi na wenye wanakubalika.

    ReplyDelete
  8. Hayo ni majembe ya ukweli watutulikuwa tukisikilizia tu radio ziko nyingi na wenyewe wanakubalika.

    ReplyDelete
  9. Hayo ni majembe ya ukweli watutulikuwa tukisikilizia tu radio ziko nyingi na wenyewe wanakubalika.

    ReplyDelete
  10. Clouds ingepaukaaaaaa! Pumbav

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad