Aidha Dr. Slaa amesema kuwa uteuzi wa Mwigulu Nchemba kama naibu waziri wa fedha (sera) ni mkakati wa CCM kujichotea fedha za uchaguzi mkuu ujao hivyo tutarajie EPA nyingine.
Uteuzi wa Mwigulu Nchemba, Dr. Asharose Migiro, Adam Malima, Saada Mkuya, Jenista Mhagama na kurejeshwa kwa Dr. Shukuru Kawambwa kumezua manung'uniko mengi huku wengi wakihoji uwezo wao kiutendaji.
Dr Migiro anakuwa waziri wa katiba na sharia huku akielezwa kama miongoni mwa waliobeba maslahi ya CCM kwenye mchakato wa katiba mpya hususan kwenye madaraka ya rais na muundo wa muungano. Saada, Nchemba na Malima wamekabidhiwa wizara nyeti ya fedha na uchumi ambapo imedaiwa kuwa uwezo wao kiutendaji hauwezi kuiletea ufanisi wizara hiyo huku wengi wakitilia shaka uteuzi wa Nchemba kiuadilifu ambapo amekuwa akionyesha chuki za wazi kwa Chadema na viongozi wake na kukosa kabisa staha pale anapochangia bungeni.
Kawambwa na Jenista wamepewa jukumu la kuongoza elimu ambapo Kawambwa alionyesha dhahiri kushindwa vibaya kuongoza sekta hiyo nyeti kabla ya uteuzi mwingine wa jana.
Kama ww Babu ulivyochoka!
ReplyDeleteOkey tukutane mwakani ama nn wadau?
ReplyDeletewewe ndo umechoka mpaka mnagomba bila sababu
ReplyDeleteHongela dr slaa kwakuliona hilo! lakini ndani ya ccm hawana viongozi wenyeuwezo wakusimamia lasilimali zetu, wote nimafisadi wanajinufaisha wenyewetu!!
ReplyDeleteUmenena apo mdau tena utakuta mtu mmoja anasimamia mambo kumi na moja, wakati wapo watu wanaofaa kuwa na nyadhifa hizo ila hii serikali inalifumbia macho. Mfano AshaRose Migiro hata weza kusimamia kila kitu kwa wakati moja. Wangemueka sehemu moja tuu. Ila ndo hivyo wababe wa nchii tutawaweza wapi sisi walala hoi
DeleteWe mbona umechoka sana tu na bado unataka nchi? Kwan unataka kutupelka wapi? Au we ungekuwa ndo jk ungewaweka akina nani?
ReplyDeleteSugu
DeleteNina wasiwasi na akili ya Dr Slaa
DeleteWoooi"" wivu tu huo ulitaka Nani awekwe??? Wewe au Lema? Simngechukua wanawake wetu mpaka madhouse?
ReplyDeleteWewe mdau hapojuu hunalolote! waliomfunga babuseya wenyewe mbona hauwasemi? tatizo sihao wanawake! kama hauna yakuchangia tulia, wenye uwezo wakuchangia wachangie, siyo kukoment upuuzi.
ReplyDeleteKama ilivyichoka chadema kabla ya uchaguzi
ReplyDeleteooh
ReplyDeleteacha umbea fanya kazi
ReplyDeleteWee mwenyewe umechokaaa shauri ya kufiramishwa ovyoooo, uzee unakusumbua kakojoe ulale
ReplyDeleteWE SLAA HUNA AKILI USAKOSA YA KUONGEA BORA 2 UACHANE NA SIASA UCPOANGALI UTAPELEKWA MILEMBE SHAURI YAKO
ReplyDeleteNYIE WACHANGIAJI WA MADA MSIWE WABINAFSI NA CHUKI BINAFSI CHUNGUZENI HAO WALIOCHAGULIWA KAMA KWELI WANA UWEZO ILI RAIS NAYE AONE MCHANGO WENU ILI AUFANYIE KAZI KWANI NAYE ANAPENDA MAWAZO YENU WANANCHI
ReplyDeleteChadema ipo na itakuwepo ila wajinga wajinga tunatupa nje...sio kuwapa uwaziri
ReplyDeleteHUYO MZEE ALIYAKA YEYE NDIYO AWE WAZIRI WA FWEZA, MBOWE WAZIRI WA WANAWAKE. LEMA AWE WAZORI WA MASHOGA NA WENGINE HUKO KASKAZINI WAWE WAUASI WA KUFUNGA WATU MAISHA BILA KESI ZA MSINGI HA´TA MWIZI WA MAHINDI AFUNGWE MAISHA... CHADEMA HAMNA LENU NGOJENI 2015 KAMA MTAKUWA HATA NA WABUNGE WATATU SIJUI LABDA KWA HUKO ARUSHA NDIO MTAPATA KURA, LAKINI KWA TANZANIA ILIOBAKI MSAHAU !!! SASA NINYI MLITAKA NANI AWE WAZIRI.? WEWE MWENYEWE USHA CHOKA BADO TU UNATAKA UONGOZI EMBE KAFE MBELE USITUTIE KICHEFU CHEFU. HIO ZIARA UNAYOIPANGA KUTEMBEA NA HELIKOPTA 4 KWA SIKU 14 TANZANIA NZIMA KWELI WEWE UNA AKILI KWELI ? UNAJUA NI KIASI GANI CHAFEDHA MNACHOENDA KUKITATUA HUKO + MALAYA NA WAO WAFAIDIKE HUMO HUMO. RUDI KASOMEE WANANCHI KANISANI.
ReplyDeleteChama cha siasa si Mali binafsi hata Kama ulishiriki kukianzisha ubinafsi umewaponza zamani c sana ilikuwa mada yoyote inayohusu au inayotolewa na chama ilikuwa inaungwa mkono hata Kama ni pumba ona sasa tunapokuwa wapinzani haimaanishi tupinge kila kitu au kukebehi masuala ya nchi chama kipo hoi ila tutakiimarisha na kuonyesha chama si cha kikanda au cha mkoakuchagua viongozi wazuri ni demokrasia basi ianzie ndani ya chama halafu tumulike na nje.
ReplyDeleteyaani watu wanajua nani anafaa na nani hafai kiutendaji wakat hamjawahi kuwa hata viranja mashuleni,dr migiro katoka UN then una doubt nae,kweli chadema chama cha wajinga,slaa umedhihirisha ni mjinga kiasi gani,acheni watu wafanye kazi,punguzeni midomo na siasa za kijinga,chadema hao waliobebwa ba zito leo wanamuona zito hafai
ReplyDelete