Nimeshitushwa na maneno ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa alipokua akiwahutubia wananchi wa Iringa kuwa Mabomba ya gesi inayochimbwa Mtwara yanaelekezwa Ulaya badala ya kuelekezwa kwa wananchi wa Mtwara. Ameeleza hayo bila kufafanua ukweli wa jambo hilo.
"Katika taarifa ya habari ITV usiku huu, Dr. Slaa anasema: Tunaambiwa mabomba Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu. Hatutakubali!"
Source: ITV HABARI
Hiyo Kauli Imekaaje? tupia maoni yako
Yanakwenda ulaya unaongea tu! Upadre ulikushinda kwa ngono mpaka ukavamia wake wa watu uoni unavyo lopoka ni laana kwa mungu ulivyo muasi? Upo kama mnyika kwa kulopoka Ovyo ata jimboni kwake afanyi lolote tunateseka na barabara yy yupo kwenye majimbo ya watu, Angemsumbua kila cku waziri angefanya la maana kuna barabara za Mbezi mwisho VIA makongo juu na mbez samaki na MBEzi mwisho VIA maramba mawili zote ni muhimu sana kwetu lkn yy haoni hilo mashavu yamemtoka kwa jasho letu wapiga kura.
ReplyDeleteHuyo Slaa sio mzima, anaropoka sana. Slaa rudi ukawe padri.
ReplyDeleteSilaha aka bwanaharusi kachemka mbaya! Na muda c mrefu ataokota makopo kwa uchizi
ReplyDeleteWazee wa ma chopa wamefulia hao
ReplyDeleteNyie mapaka uwezo wenu kwl mdg wa kufikiri!dar n kituo tu,nia n kfikishwa dar n kupakiwa kwenye meli ndan y bandari salama!
ReplyDeleteHaa!kila kitu wabongo wanajuwa hawakosi kukosoa juzi Lipumba kamkosoa waziri wa fedha tushawachoka wapinzani,ikifikia kupiga kura tafuteni familia zenuu tu,kwanza munatuulisha hatuwaoni hata kwenye misiba.
ReplyDeleteCHADEMA ni CHADOMO cku izi kuropoka tuu!!
ReplyDeleteTatizo wanasiasa mnachukulia watanzania wote ni wajinga ndo maana mnaropoka tu
ReplyDeleteslaa kweli uzee wako umekujia vibaya, you are not critical thinker at all, you are absolutely knackered, its better you go back and hubiri tu labda ndo utakaloweza,we need politicians who are critical,who can do analysis of serious issues in serious way,sio kelele tu kama mlevi wa pombe chafu.please go back to speak and mind you today Tanzanian are not the same as those of 1922
ReplyDeletehata iende wapi cha msingi inufaishe watanzania na uchumi kwa watazania
ReplyDeleteHuyo Slaa kaishiwa kila siku maneno yake yaleyale mpuuzi mkubwa anachonganisha anafikiri kila mtu ajasoma amdanganye anavyotaka yeye..
ReplyDeleteKuma yako kwanini watudanganya...unakera sana laana ya yesu iwe juu yako
ReplyDeleteTafuteni ukweli. Matusi hayasaidii.
ReplyDelete