GADDAFI ALIKUWA NA CHUMBA MAALUM CHA WAFUNGWA WA NGONO

Kanali Gaddafi alikuwa na vyumba maalum kwa wafungwa wa ngono kwenye majumba yake

.Mamia ya vijana wasichana kwa wavulana walikuwa watumwa wa ngono kwake

.Dikteta huyo alitembelea shule na kuchagua vigoli ‘bikira’ wa kufanya nao ngono

.Aliuawa mwezi Oktoba 2011 baada ya miaka 42 ya udikteta

Na Damas Makangale, MOblog Kwa Msaada wa Mtandao

IMETIMIA zaidi ya miaka miwili tangu kukamatwa na baadaye kifo cha Muammar Gaddafi, dikteta wa Libya ambaye utawala wake wa miongo kadhaa ulikabiliwa na umasikini mkubwa vitisho, mauaji ya kikatili kwa raia wasio na hatia na ugaidi.

Wakati kiongozi huyo wa zamani anatolewa nje baada ya kuanguka kwenye mtaro wa maji machafu baada ya kupigwa risasi kati kati Oktoba 2011, kifo chake na damu yake kilimaliza vita ya NATO ya wenyewe kwa wenyewe na alikuwa amevuruga nchi tangu mwanzo wa mwaka huo.

Maisha yake ya kikatili yamekuwa kama sehemu ya Walibya wengi na pole pole baadhi ya watu kutoka kwenye kabila lake wana visasi na wanaendelea kufanya mashambulizi ya kushtukiza mara kwa mara kwenye baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
Udhalilishaji: Hii ni kifaa kikamilifu maalum kama aina ya kitanda chenye uwezo wa kuangalia magonjwa ya zinaa kwa wasichana wadogo kabla ya kupelekwa kwa Dikteta Gaddafi kwa sughuli ya ngono.

Lakini sasa kwa upande mwingine baadhi ya wasichana na wavulana waliofanyiwa unyama na unyanyasi wa kijinsia wana uchungu na waliofanyiwa ndani ya miaka 42 ya utawala wake kwa sababu walipigwa, kubakwa na kulazimishwa kuwa watumwa wa ngono kwa kwake.

Taarifa zinasema wengi walikuwa na wasichana waliotekwa nyara kutoka shule za sekondari na vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Tripoli na walikuwa wanapokea maagizo kutoka kwa wasaidizi wa karibu wa Kanali Gaddafi kuwapeleka katika moja ya vyumba maalumu vya ngono.

Wengi wa wasichana waliobakwa na Kanali Gaddafi walikuwa na mabikira na wanafunzi wa vyuo vikuu walipimwa kwanza magonjwa ya zinaa (STD) na kisha kupelekwa katika moja ya vyumba maalum kwa kazi ya ngono.

Katika kipindi cha miezi 26 tangu aondolewe madarakani, sehemu za ngono au mapango ya Gaddafi ambayo yeye mara kwa mara kubaka wasichana wadogo wenye umri wa miaka 14 ilibakia imefungwa. Lakini leo mambo ya ndani ya sehemu za ngono za dikteta huyo katili inaweza kuonekana kwa mara ya kwanza katika picha za mtandao wa BBC4 documentary.

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We mnafiki na mada yako mbovu
    Nahisi nawe ni kibaraka tu wa wazungu
    Kwashida gani alonaye mpaka aweke wafungwa wa ngono? Ukikosa mada kwa kimya .huyo ni mwana wa afrika.

    ReplyDelete
  2. No sio kweli nimeamini ama kweli nyinyi ni udaku wananchi wa Libya hawakuwa maskin enzi za uhai wa gadaff

    ReplyDelete
  3. nimekubali yoooote lakini hilo la kusema Libya ilitawaliwa na umaskini itakua ngumu kidogo.

    ReplyDelete
  4. Sasa Libya wana nini angalieni kabla ya kupost maujinga yenu jamaa alikuwa ana vision kubwa sana ya Africa kujitegemea wazungu wakaona hilo wakaunda mizengwe ya kumaliza utawala wake

    ReplyDelete
  5. eti walibya walitawaliwa na umaskini we acha kutudanganya bwana

    ReplyDelete
  6. Upuuzi mtupu!! usipokubaliana na wanavyotaka hawa wazungu watakuzushia mengi sn tena maovu ya kukudhalilisha. siamini kabisa! washenzi nyie.

    ReplyDelete
  7. Kama huna cha kupost tulia msaidie mma yako kusuka mikeka..........u!

    ReplyDelete
  8. Admin unakula mavi mabichi!

    ReplyDelete
  9. Kwa sisi watanzania Ghadafi hakuwa mtu mzuri sana kwetu kwakuwa alimsapoti Idd Amini ili atupige kwenye vita ya Kagera 1978-79. Lakini Mwl aliwakamata askari wake wadhali na kuwatunza kama wageni wake..

    ReplyDelete
  10. Hamna kitu kama hicho hizo ni udaku hamna kiongozi wa afrika anayeweza kumfikia gadafi acha kutu danganya. Sasa hivi na kipindi cha gadafi kipi kina umasikini mbna wa libya hawasomi tena bure wale wanafunzi wa chuo waliomaliza hawalipwi tena mbna maji umeme wanalipia.mbana maskini hawalishwi na serikal tena wanaxhajiwa kodi za nyumba .mbna wanafunzi sasa wanalipa ada mashuleni .mbna hospitali wanalipa wakati enzi ya gadafi hvi vtu vyote vilikuwa bure

    ReplyDelete
  11. Mmmmmh, "aina ya kitanda cha kuangalia magonjwa ya zinaa!".....hapo msipotoshe !.....au mjieleze vizuri tuelewe kabla ya kuwatusi kwa unafiki wenu.
    Marehemu Gaddafi hakuwa mjinga kiasi hicho. Rest In Peace Col.Gaddafi.

    ReplyDelete
  12. kuma yako mleta mada

    ReplyDelete
  13. gadaffi co mtu mzuri kwa watanzania...na bora wamemkill ili akomeudikteta

    ReplyDelete
  14. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  15. Uwongo mtupu na chuki dhidi ya marehemu gadafi

    ReplyDelete
  16. naomba nikutukane ww adimin. Ww ni msenge wa hali ya grand master.

    ReplyDelete
  17. Hio ni propaganda!Alikuwa kiongozi shupavu asie na ubinafsi ingawaje alikuwa na utajiri mkubwa.Kasaidia sana ukombozi,kifo chake kimeonyesha kuwa viongozi wa Afrika hawana mpango hakuna alie laani uonevu huu!

    ReplyDelete
  18. ee mungu tuhukumu sisi kama nasi tuwahukumuvyo wengine

    ReplyDelete
  19. acha uongo, mtawaabudia wazungu mpaka lini kwa propaganda zao? wake up you guys, Africa need to love each other.

    ReplyDelete
  20. THE AMERICANS WILL ALWAYS COME UP WITH ANY PROPAGANDA TO MAKE ISLAM LOOK BAD;EVEN THOUGH GADDAFI WAS NOT A GOOD MUSLIM;BUT THEIR AGENDA IS TO TAINT THE NAME OF ISLAM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Does everythn hv to b abt religion.? Grow up, no matter what, we're all one. After all hizi dini zote zimeletwa na wageni.

      Delete
  21. Hivi aloandika hii mada ni mwanamke? Matusi ya nn! Kutukana sehemu ambayo ulitoka. Achen upumbavu wa akili...hata kama ulimpenda kias gan wenyewe si ndio walimuua? Matusi hayajengi jaman...jifunzeni ustaarabu...Mama zenu pia wanazo hizo K***.

    ReplyDelete
  22. Hata admin ni mzungu

    ReplyDelete
  23. Mpuuzi sana huyu admini wenu

    ReplyDelete
  24. Nyote pumbu zenu kwani walio muhua ni hii blogu,mbona walioshoot ni wa Libya wenyewe ka hangekua na uzuri watanzania mnaomsifia basi walibya wangficha mpaka leo

    ReplyDelete
  25. Gaddhafi hakuwa hivyo. Bora katika utawala wake kuliko wa sasa

    ReplyDelete
  26. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad