HALI YA MWIGIZAJI JOHARI SI SHWARI..ALAZWA HOI HOSPITALINI

Mwana Dada na mwigizaji mkongwe Blandina Chagula maarufu Johari ni mgonjwa na amelazwa katika moja ya hospitali maarufu hapa jijini.


Kwa mujibu wa blogu ya mwigizaji Deogratious Shija, ndugu wa karibu wa Johari ameshindwa kuweka wazi ni hospitali gani ambayo Johari amelazwa na kusema kuwa wanashindwa kusema mahali alipolazwa Johari kutokana na usumbufu wa waandishi wa habari " kwakweli Johari anaumwa sana na tunaomba dua zenu tu" Alisema ndugu huyo wa johari. Jamani tumumkumbuke katika dua muigizaji huyu na wagonjwa wengine wote mahospitalini. Ameni

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole dada johari mungu atakusaidia utapona mpendwa sawa ugua pole mamy okey

    ReplyDelete
  2. Anasumbuliwa n stress huyu demu za kuachwa Na ray ndio maana anakunywa pombe Sanaa ndio imemletea madhara unajimaliza mwenyewe wewe dada angalia Sana mapenzi yapo wasikudanganye watu wanakuambia yalianzia tanga mapenzi yameanza Na Adam Na hawa .. Am out

    ReplyDelete
  3. msipende kuhukumu wenzenu.

    ReplyDelete
  4. Pole Johari. Ila make up zako omba ushauri

    ReplyDelete
  5. mainda kamroga johari wangu na humuwezi mwangali ndo maana kamekomaa ugua pole blandina

    ReplyDelete
  6. Alaaa c alikuwa nje huyu karudi lini tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakwenda nje ilikuwa danganya toto,

      Delete
  7. Hv mnafikiri nje kuzur ehhhh? hakuna watu wanaoishi kwa furaha ya mgawo kama madem wanaishi nje kwa tiket ya vibabu vya kizungu Sana stress hao achen Tu,kwanza mpaka mzungu akuhonge ukae nae na umzalie,ILA pole johari na hzo make up keel uwe unaomba ushaur

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usidanganye wattu nje ndo mpango mzimaaa

      Delete
  8. Pole sana da johari ila izo make up mhhh tafadhali

    ReplyDelete
  9. Ukome,roho mbaya kama sura yako,siku zote mwisho wa ubaya ni aibu,ulimuharibia nora ukajiona mjanja na mainda pia,ray hakupendi watu wote wanajua hivyo,tuliza akili na ujipange upya

    ReplyDelete
  10. Ana ngoma habari yake kwisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha usenge... ngoma ulimpima na kuthibitisha? JACKASS!

      Delete
  11. Pole ila mkome nje wanakulaga samaki pande zote, hakufai huko

    ReplyDelete
  12. Kwenda nje ni jumla ya ujanja mbona dada yako hajawahi kwenda johari pole mungu atakusaidia.

    ReplyDelete
  13. Babu wa Mzungu kizungu vip?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aliwadanganyeni kujipa faraja baada ya kuachwa na ray,hakuna babu Wa kizungu Wala kichina,

      Delete
  14. Ebwana ehe! Huyo mzungu noma, ndoa mpaka ukaugua? Au tigo maana wazungu watata sana

    ReplyDelete
  15. wewe 11:36 pm ucwe unaongea v2 ucvyovijua sawa huyo nora hana akili tangu alipoolewa na mganga anamuona kila m2 mchawi na kama kweli ray angekuwa anampenda mainda asingefungua kampuni johari ray na johari walikuwa wanapenda hata mbaya wao nora anajua cyo mainda anayejipendekeza kwa ray i think we ume2mwa 2 huna lolote

    ReplyDelete
  16. wewe 11:36 pm ucwe unaongea v2 ucvyovijua sawa huyo nora hana akili tangu alipoolewa na mganga anamuona kila m2 mchawi na kama kweli ray angekuwa anampenda mainda asingefungua kampuni johari ray na johari walikuwa wanapenda hata mbaya wao nora anajua cyo mainda anayejipendekeza kwa ray i think we ume2mwa 2 huna lolote

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha usenge unacopy na kupaste vitu. msenge!!

      Delete
  17. Tuombe, Baba Mungu wa mbinguni, nakushukuru kwa kuwa wewe ni mwema, na hakuna kinachoshindikana kwako, rehema na fadhili zako ni za milwle, namsogeza mikononi mwako msanii wetu Johari, mponye na umrudishie afya yake, bado tunamuitaji yeye na uzao wake utakaomjalia hapi bafo, roho ya mauti n magonjwa ikapate kushondwa katika jina la Yesu. Sema Amen kwa ajili ya johari.

    ReplyDelete
  18. Pole sn ndg mungu atakupa nafuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad