HII PICHA KILA NIKIIANGALIA NAPATA WOGA ...HAWA WATU WALICHUKULIWA HATUA GANI?

Hapa tunamuona Mh. Ismail Aden Rage, Mbunge wa jimbo la Tabora mjini kupitia CCM akiwaongoza viongozi mbali mbali wa CCM kumshambulia mpinzani wao wa kisiasa kutoka Chadema kwa silaha yoyote ile iliyo karibu. Kwa hali inavyoonekana pichani sijui ilikuwaje hadi huyu mlengwa akasalimika ila nabaki najiuliza maswali kadhaa...Je kuna hatua yoyote ilichukuliwa dhidi ya hawa hili genge ambalo kwa namna yoyote ile wanaonekana wako tayari hata kuondoa uhai wa mtu.

Je kama washambuliaji wangekuwa viongozi wa Chadema, kweli hadi leo hii wangekuwa bado wanatanua mtaani? Picha kama hizi zinanipa woga kweli kweli huko tunakoelekea...kwamba watu ambao sura zao zinaonekana wazi wazi wakiwa na nia ya kutenda kosa la jinai hawakukamatwa wala kuhojiwa, ni jambo la hatari linaloleta hofu kubwa katika jamii. Nawaomba wote wale wanaoweza kuzitambua hizi sura, tusaidiane kuyataja majina ya hawa watu tuwafahamu na nyadhifa zao ndani ya CCM.
-Jamii Forums
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alafu hawa ni watu wazima tena wazee kabisa na akili zao lakini wanafanya vitendo kama hivi jamani mnafundisha nini vijana. kazi kwenu vijana ndio mnaachiwa nchi hivyo

    ReplyDelete
  2. Yan ndo siasa zetu zilivyo wameona CHADEMA imewashinda kwa kua logic na mambo kibao na kuyafunua maovu yao sasa wanaamua kutumia nguvu kama wachawi vile....yan hawa wanajua siasa ina maslahi ko ili wajilinde wao na pesa wanazozinyonya kwa wananchi wanaona bora watumia njia yoyote ile kumaintain status zao na mim nawatukana WAZI WAZI PUMBU ZENU MIKUNDU SANA NYIE.AT LEAST THIS CAN REDUCE THE PAIN OF MY BROTHERS.SISTERS,MOTHERS AND CHILDREN THAT BECAUSE OF YOU THEY ARE NOT WITH US......CCM MY ASS

    ReplyDelete
  3. CCM NDIO YENYE KUSHIKA KILA KITU.WEWE NENDE SOMALIA KAMA UTAPA HATA GENGE HAPA RAGE KINANA TUMEWAPA UBUNGE,UKATIBU HAYO NDIO MATOKEO YAKE

    ReplyDelete
  4. Jamani Ditopile alikuwa kiongozi kwenye chama gani?

    ReplyDelete
  5. We unajua aliwafanyaje?

    ReplyDelete
  6. Oyah! Uo ni uchochezi mbn mwenyewe hakulipot?

    ReplyDelete
  7. Hiyo jamii forum ni ya mboe au lissu?

    ReplyDelete
  8. Acha walichape yamezidi mi cwapendi

    ReplyDelete
  9. C wamezoea kuadamana wakome

    ReplyDelete
  10. Haya yanayofanywa na selikali ya chama chamapinduzi! hayafai na yanapaswa kulaniwa nakila m2 mwenye akili timam

    ReplyDelete
  11. Hii siyo siasa ni vurugu na mauaji hakuna upande uliosalama

    ReplyDelete
  12. Hii sio siasa bari ukisikia corrupition ndio hii, haya si mambo ya kuchekewa kabisa na watu kam hawa wanaopenda corruption ni watu wa kukemewa kabisa katika ulimwengu wetu wa siasa, sasa huyo na hilo jiwe la nini? ndio anaonyesha ubabe wake, awagombaniii siasa bali wanagombania Ufisadi, hawana lolote hawa michosho tu sura zimewashuka kwa kutaka kuingia madarakani kwa Ufisadi

    ReplyDelete
  13. Wangemuua kabisa hawa chadema wapuuzi kweli wanasababisha watu kupata vilema kwa kupigwa marungu na polisi na wakati mwengine watu kufa huku wenyewe wakiendelea Kula raha na wake zao...

    ReplyDelete
  14. Rage hapo hayupo.

    ReplyDelete
  15. Na yeye akome kamwona nan apo mwenye gwanda ka zake kalitafuta balaa mwenyewe..... Ndo maana hata halikushitaki lilienda kuwavurugia CCM limeambulia kipigo....!!

    ReplyDelete
  16. Chadema wakati mwingine mnabore, nyie mnataka umaarufu kupitia vurugu tu? mengine mnayazua wenyewe ili ionekane mnaonewa.

    ReplyDelete
  17. NYOTE MLIOIPONDA CHADEMA MIKUNDU YENU FALA NYIE NENDENI MKAGEUZWE. NAICHUKIA SANA CCM FALA SANAAAAAAAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad