ISABELA Mpanda ambaye ni mwanamuziki na muigizaji wa filamu nchini ameonekana kuwa katika beef na Sintah kwa kumchana live kupitia mtandao mmoja wa kijamii. Hata hivyo sababu ya Bella kumtolea uvivu Sintah ambaye ni muigizaji wa filamu pia na blogger haijajulikana. Bella aliandika na kuweka picha ya Sintah kama inavyoonekana hapo chini
"Wewe sinta kwa nini unapenda kufwatilia maisha ya watu. Jione apo miwan na ilo pua lako na miziwa na viguu kama chelewa na mkorogo wa mia 2 . Nimekuchoka why wewe unapenda kufwatilia mambo ya watu. Nafikir umenielewa nini namaanisha. Na chokoza hao wapole mimi nitakufuraisha"
ISABELA" AMROPOKEA SINTAH KWA KUPENDA KUFATILIA NA KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU
11
January 09, 2014
Tags
Stupid! Nyie mastaa Wa bongo umetia Aibu nchi yetu!!! MADAWA YA KULEVYA" KUPIGA PICHA ZA UCHI" kueneza HIV!!! EBU ONA jinc ulivyokaa hapo Kama pepo la kuzimu STUPID!!!
ReplyDeletehaka kabinti nako kanatafuta umarufu yaani wasichana wakibongo wameona kuchambana ndio kiki ya umaarufu alianza sintah kumfuatilia wemalaya akaja babu madaha kumponda jidomo hivi sasa nihiki kibinti kiuza uchi isabela nacho kinatafuta umaarufu cheki pcha kimeweka kikuma chake nje watu wakitongoze jamani
ReplyDeletebangeee inahusika kwa huyu changupori
ReplyDeletehuna lolote unatafuta bwana hiloooo sura ngumu km sori ya kiatu nyooo umalaya tuu ndo unaokufanya uropoke ss km kakuuzi c umfuate kwa ustaarabu sisi hatuna shida ya kujua mabifu yenu malaya wewe miwani ka kobe mzee
ReplyDeletewengine tunaenjoy na hizo picha
ReplyDeleteso acheni kumpakaza kutu huyu mtoto!
Mdogo wangu Bella umechemka, kama ni kweli unatafuta kiki, ni bora ungetafuta star wa ukweli ndiyo uanzishe naye bifu, labda mtu kama Wema hivi, Wolper, Uwoya lakini hicho kibibi unachotuletea hapa eti Sintah, hana ustar wala hana mvuto kwenye jamii na wala hajulikani pamoja na kujilazimishia umaarufu mavi kinguvu ila mvuto kwa jamii sifuri. Kajipange bella uanze upya, hilo pori ulilochagua umechemka mbayaaaaaaa
ReplyDeleteHe he he he heiyaaaaaaa, eti Sintah, loh, nasikia kinyaa nisije tapika mie.
ReplyDeleteHebu tutoleeni umalaya wenu hapa, wote vicheche tu wewe na huyo sintah mnanuka vikwapa
ReplyDeleteNa wewe sintah, nini na watoto jamani. Hebu tafuta ugomvi na watu wazima wenzio acha kugombana na vitoto vinanuka maziwa hivyo, mbona umri wako tofauti sana na hao watoto, bara wema, mara bella mbona hao unaweza hata kuwazaa kwa umri wako.
ReplyDeleteNae huyu kutafuta umaarufu tuu hana lolote yaani nchi mtu akiimba kiwimbo kimoja tuu unamwita mwanamziki sasa diamond ataitwa nani? We bella mwizi wa waume wa watu jirekebishe
ReplyDeletemajanga
ReplyDelete