STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kumuweka bayana mchumba wake wa sasa anayejulikana kwa jina la G. Modo baada ya kukaa kimya muda mrefu tangu alipoachana na Abdallah Mtoro ‘Dallas’.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Wolper alisema alikuwa kimya kwa muda mrefu kwa ajili ya kutafakari kwanza maana asingeweza kukurupuka wakati bado hawajachunguzana tabia vizuri na mpenzi wake huyo.
“Kiukweli nafurahia sana uhusiano wangu wa sasa na siwezi kusema moja kwa moja kuwa ndiye mume wangu kwa vile najua kila kitu kinaongozwa na Mungu, ninachokiomba ni ndoto yangu ikamilike tu kwani nahisi niliyempata ni sahihi kwangu,” alisema Wolper.
Wolper aliongeza kuwa kama siku Mungu atajalia kwa mpenzi wake huyu kitakachofuatia ni kwenda moja kwa moja kwa wazazi wa pande zote mbili ili kupata baraka na ndiyo kitu ambacho anakiomba kila kukicha.
CREDIT: GPL
Fagiliaaaa huo ndo uamuzi
ReplyDeleteLkn kuwa makini wanaume ni wabaya xana wote baba yao ni mmoja na tabia zao hazitofautiani
ReplyDeleteKumbuka ulipokuwa na dallas ulitamka hivyo hivyo mwanaume akifulia unakimbia acha tamaa hapo mapenzi yako wewe ni ya pesa tu huna lolote
ReplyDeleteMbn kama kashoga
ReplyDeleteKafulia.unajua MWANAMume akifulia anakua Kama shoga
DeleteAcheni wivu,mamburula nyie..hamuishiwagi na maneno..Hongera dadangu,tunawaombea kwa Mungu,malengoyenu yatimie
ReplyDeletemwaume sahihi kwako ni mtanga au bambo.
ReplyDeleteIts a complex decision taking by few people who are Open mindness..cong
ReplyDeleteMbona nyie wasanii hamuishiwi na mabwana umalaya mlio nao hauwezi kuwa mfano wa kuigwa
ReplyDeletekwan we msafi? unaboyfriend au girlfriend mmj? kama co bas naww malaya vilevile wengi wanaosema ya wenzao yakwao yamewashinda nyny ndo mnaitwa mafataki mitaani kwenu
ReplyDeleteHongera sana jack
ReplyDeleteTulia basi na huyo,maana nyie wasanii kesho huchelewi kusikia mapya!
ReplyDeleteNaona unaendelea kuwa na idadi za mboo si wanaume,tupe idadi hiyo ni mboo yangapi toka uwanze umalaya wako.
ReplyDeleteacha matuc jaman
Deletemawazo ya wabongo kama pembe za chupi
ReplyDeleteMtaishia kutangaza wachumba tu na kuolewa na kuish mda mref kwenye ndoa itakuwa ni ndoto kwenu
ReplyDeleteYule aliyekufanya ubadili dini mmeshabwagana?
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletepumbavu
ReplyDeleteall the best my cster but be patient and faithfull inorder to win love other-wise u will change them like clothes
ReplyDeleteWapuuzi nyie wote wenye negative opinion,inajulikana kabisa kuwa wanaume hawabebeki halafu mnamuuliza huyo ni wangapi,piteni hivi,hayo hayawapati wasanii tu
ReplyDeleteHongera,Mungu asikie nia ya moyo wako.But remember kuolewa kunahitaji kujishusha!usipoweza kufanya hivyo itakuwa kazi,all the best.
ReplyDeleteBig dada ang bt tazama hao wana maneno matam,km upo serious nenden mkatambulishane cyo mpaka mchoshane af anakua analeta swagga
ReplyDelete