Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba ambalo linamhusisha Kikongwe mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana kukutwa chumbani kwa mtu huku akiwa mtupu chumbani kwa mtu.
Mpaka sasa bado haijajulikana kama ni Kigarura au pengine alipata matamani ya mwili akaona pengine chumba kile kingemfaa kumpatia msaada wa mambo yake.
Bibi Kizee huyo anakadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 70,ambapo amekamatwa alfajiri ya leo January 31 hata hivyo polisi wamefanikiwa kumnusuru na kifo baada ya kumchukua na kumpeleka kituo cha polisi.
Mashuhuda wa mwanzo wanadai walimkuta bibi huyo akitapatapa bila kujua nini la kufanya huku akiwa mtupu na nguo zake zikiwa pembeni kitendo kilichotafsiriwa kwamba pengine bibi huyo anaweza kuwa mchawi,huku wengine wakisubiri taarifa ya polisi na wengine wakisema huenda bibi huyo alipatwa na matamanio ya kimwili.
Story na picha:bukobawadaublog.
Bibi alikuwa na nyege alikuwa anataka kutombwa
ReplyDeleteIt might be!
ReplyDeleteKUMANINA ZENU
ReplyDeleteNawewe akili huna, km huna hoja kaa kimya cha kutoa matusi maana yake nini?
Deletewewe unaetukana unatukana kwanini?au huyo ni bb yako?
ReplyDeleteDu hi dunia imekuwa ngumu sana mungu amsaamehe kama ni mchawi kama sio basi ana jambo lake anajua yy
ReplyDeleteEeeeh huyo bibi anamiaka 76 bado kweli anaweza kuwa na nyege kiasi hicho mpk anaingia kwenye nyumba ya mtu mmmmh wonders shall neva end
ReplyDeleteKweli noma!
ReplyDeleteNi mchawi huyo wala sio nyege za alfajir alikwenda kuwanga akashindwa
ReplyDelete