KWANINI UMSEME X WAKO VIBAYA KWA WATU BAADA YA KUACHANA

Nimekua nikiona na kusikia watu wakiwasema vibaya wapenzi wao wa zamani, na hata wakati mwingine kutoa hata siri za ndani ambazo hazipaswi kuelezwa kwa watu wengine.
Unaweza kuta labda ye ndio kaachwa , au kaacha haijalishi!.
Je ni kushindwa kuhimili maumivu?, au ndio siku zote lazima apatikane wa kulaumiwa.

Swali kwako, kwa nini Utoe siri za Mpenzi wako wa zamani.
Kwa nini Umseme kwa Mabaya tuu ?.


Karibuni.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio hekma na busara mukiamua kuachana kila mmoja angalie maisha yake kimya kimya na muwekeane heshima,huo ni upuuzi na kudhalilishana kwani mnawapa waja faida kwa kutoa siri zenu za ndani,mujirekebishe kwani kuachana sio uadui japo inategemea jinsi mlivyo achana.

    ReplyDelete
  2. Mapenzi yakiisha mara nyingi watu huchukiana . Me nikiachana na nimpendae huwa namsahau kabisaaa! Lol

    ReplyDelete
  3. Ukomboz ni maamuz

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad