Hatimae imefikia idadi ya 200,000, (laki mbili)
Kila mtu ambae yupo kwenye hii page anastahili kupata hii nafasi ila sababu watu laki 2 hatuwezi kwenda dinner wote kwa pamoja naomba nitaje wachache waliobahatika, watawawakilisha na wengine.
Nimeona badala ya watu kumi niongeze wengine wanne wamekuwa 14...(Bonus)
Nashukuru kwa kuendelea ku like page yangu.
1. GENI GENI
2. OBADIA USWEGE
3. MARTIN WAFUALA
4. FRANK NYABILI
5. POPE RAY MBISHI
6. MSAFIRI MSAMI
7. EDWIN EMMANUEL
8. QUADRAH CHARITY
9. ALVEEH CHELSEA BLAQ
10. HASHYME MDETY
11. PATRICK KAPUS KASIRIM
12. STANLEY MCHOME
13. PROSPER DAUD
14. FJ JUMA
Mta inbox namba zenu za simu, ili muweze kupatiwa utaratibu wa jinsi gani mialoko itawafikia... Hongereni na tutaonana Valentines Day
LADY JAY DEE AFURAHIA KUFIKISHA FANS LAKI 2 KWENYE UKURASA WA FB..ATOA DINNER KWA FANS 14
8
January 17, 2014
Tags
UMETANGULIZA UDINI DADA
ReplyDeleteJina sio dini, dada amechagua watu anaotaka Kula nao.
ReplyDeleteNdugu anonymous 10:58 sasa hapo ametanguliza udini kivipi? Mbona majina yenyewe mchanganyiko alafo utambuwe jina sio dini
ReplyDeleteHata Mimi nashangaa,CCM wameshaharibu watu kabisa
DeleteMimi hapa jina langu ni Rashid watu wengi wanajua mimi mwislam lakin ni mkristo.Usikariri JIDE anaweza kuwa amechagua kulingana na vigezo vyake labda fan wake wa kwanza, laki moja etc
DeleteWe kama huna cha kuongea nyamaza CCM wameharibu watu vipi Pumbavu weeee..
ReplyDeleteSasa hapo dini inahusiana nini na majina jamani,ovyoo!
ReplyDeletehuyo anony joto hasira hajaalikwa kwi kwi kwi
ReplyDelete