MABASI YA MWAKYEMBE YAANZA KUTESA APA MUJINI BONGO LIVE!!

Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar.


Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona unatudanganya mchana kweupe ndugu yetu,hayo ni mabus ya Mwakyembe kivipi?Hayo mabus ni yako chini ya wakala wa mabus yaendayo kasi Dar (DARTambao wako chin ya ofisi ya waziri mkuu,tawala za mikoa.Sasa Mwakyembe ametoka wapi hapo?

    ReplyDelete
  2. ni mapya au ya msaada? yanafanana na haya ya dubai.isije ikawa ni msaada kutoka UAE.maana dubai anaemiliki mabasi ni serikali.anyway sina uhakika ngoja tuone life span yake.

    ReplyDelete
  3. Kwa mabus haya tatizo liko palepale,je! kutakua na tofauti gani kati ya hayo na haya tunayo tumia saivi?

    ReplyDelete
  4. Heee!!! Jamani??

    ReplyDelete
  5. http://internetduty.com/user/dashboard.php

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad