Stori: Mayasa mariwata,Shani ramadhani.
Makubwa! Kwa mara kwanza mama mzazi wa mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini ameibuka na kumfumua staa wa filamu ‘mbia’ wa mwanaye, Vincent Kigosi ‘Ray’, Risasi Jumamosi lina cha kushika.
Akizungumza na mapaparazi wetu katika mahojiano maalum nyumbani kwake, Ubungo External, Dar, wiki hii, mama Johari alifunguka kuwa hamjui wala hajawahi kumuona Ray ambaye ni mkurugenzi mwenza wa Johari. Ndiyo wamiliki wa kampuni ya kufyatua filamu ya RJ Productions.
Mama Johari ambaye pia ana makazi yake mkoani Shinyanga alisema alitua jijini Dar kwa matibabu ya presha.
Baada ya kumjulia hali, mapaparazi wetu walitaka kujua mama huyo anamzungumziaje Ray ambaye amekuwa akifanya kazi kwa karibu na bintiye na kwamba ilishasemekana ni wapenzi.
Ndipo mama huyo alipokuja juu akisema huyo Ray mwenyewe hamjui na hajawahi kumtia machoni zaidi ya kumsikisikia tu kama wengine.
“Mimi simjui huyo Ray na wala sijawahi kutambulishwa wala kuonana naye, kwanza siishi hapa nitamuonea wapi, nimekuja zangu kutibiwa tu kutokana na matatizo yangu ya presha na kisukari.”
“Kwanza mwanangu hana muda wa kukaa na kumuumizia kichwa huyo Ray kwani yeye ni baba yake?
“Hata siku moja (Johari) hawezi kuishi kwa kumtegemea yeye (Ray),” aliongeza mama huyo.
Akiendelea kutema cheche mbele ya kinasa sauti cha Risasi Jumamosi, mama huyo alisema kamwe hawezi kuumiza kichwa kuingilia mambo ya mwanaye, kwa kuhofia maradhi aliyonayo na kujitia matatizoni kwa mambo asiyoyajua undani wake.
Alisema anamshukuru Mungu kutokana na hali ya mwanaye aliyekuwa anaumwa kupata ahueni na kundelea na kazi zake.
Alipotafutwa Ray ili kuelezwa kile alichokisema mama Johari, simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.
Source:Global Publishers
Sijaona uhusiano uliopo kati ya kichwa cha habari (heading) na maelezo yaliyomo kwenye habari.kusema hamjui ray ndio kumchambua nje ndani?kweli magazeti haya kanjanja tupu.anae yasoma mara nyingi na yeye akili yake inakuwa ya kishabiki kwenye mambo yoyote.
ReplyDeleteWewe uliecoment kuma kweli.mkundu wewe inakuuma nn kama utaki kusoma umesoma ili iweje na unaingia humu kutafuta nn ww mwenyewe kajamba nani ng'ombe wewe ujui hii blog inaitwaje so kubali chochote unachopewa utaki sepa kuma kavu wewe
ReplyDeleteSasa matusi ya nini we mkundu? Kanye ukalale kuma wewe
DeleteKwani kusema hamjui au hajawahi kumuona ndio kumchambua nje na ndani? Tusipende kukuza mambo.
ReplyDeleteKichwa cha hbr na stor haviendan
ReplyDeleteumeamua kupaka hina ili watu wote wakujue kama ni mtoto ee! lakini watu wingi wanajua kama wewe ni shoga tu!
ReplyDeletekumamae nyie wote mnaobishana kixengexenge
ReplyDeleteyani kuna watu wamekaa kufitinisha watu tu. habari nyingi za humu ni ufitna na umbea.. wamtafute huyu wamuhoji hiki, wakipata wamtamfte yule. ilimradi mkishafitinisha mupate kingne chakuandika. na s baadhi ya watu hawajielewi. ndo na wao wanaona sifa mtu kufatwa na vyombo vya habari atajiona hakuna kama yeye. tafuteni habari za maana. agh bora ngezaliwa ulaya mimi majanga haya yasingekuwepo.
ReplyDelete