Web

MAMA WEMA AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND.

Huu ndio ujumbe wake:

“Mimi nimekerwa sana na huyo Diamond wenu. Najua hajamrudia Wema kwa mapenzi, amemrudia ili apate nafasi ya kumharibia maisha. Ni kijana hatari sana.
“Nina taarifa kutoka kwa watu wa karibu naye kwamba alikwenda kwa mganga akazika kondoo watatu ili mwanangu aharibikiwe.

“Simpendi na sitaki hata kumwona. Hana nia nzuri na mwanangu, najua. Kwanza mama Diamond (Sanura Kasim) hampendi Wema, anampenda Penny, nampongeza sana kwa uamuzi huo,” alisema mwanamke huyo.

“Kama angekuwa mwanaume kweli ana pesa zake angekubali vipi kulala kwenye kitanda alichonunua mwanaume mwenzake (Clement)?

Source: Edwin Tanzania 255

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ww msenge admin unaonekana hujasoma limbukeni kazi yako kukopi tu hii habari imetoka juzi unaiweka leo maana yake unaendelea kumchafua diamond kuna habari zake zakuenspire kabisa unaweza kutuwekea kama leo kawapeleka watoto international school hujaona ww unakazania udaku tu wawapi ww acha ushamba tatzo unakopi sana ndo maana hata hujui habari hii ni ya lini fuckU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jaman blog yenyewe imaitwa udaku sasa unabwabwaja nn

      Delete
  2. Simuhukum Diamond but why anahusishwa sn na ushirikina? Mzazi alwayz humtakia mema mwanae binafc sion mapenz ya kweli kwa Diamond anamtumia Wema.nahuo usemi wa "acha muvi iendelee"am sure unamaana kwa Diamond..kiac mama Wema aumie coz nimtu mzima anaona nn kiko mbele ya mwanae.Diamond ni mtafutaji na anauchungu wamaisha na familia yake,na yuko chini yamsma yake ambae pia alipitia maisha magumu hawez ruhusu na hata Diamond hawezi toa pesa za kumpa maisha Wema like Clement! Wema kapoteza bahati na hairudi.!!mama Wema ww ni mzazi jitahidi na mwanao usichoke..

    ReplyDelete
  3. Uyo diamond c kuma tu kama kuma ya wema wote wana kuma kwaiyo wanasagana kuma wakubwa awo.kumamazao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama KUMA zao zimekupendeza iweke ya kwako kwenye gazeti Diamond akuone aje akufile

      Delete
  4. Acha movie iendelee

    ReplyDelete
  5. Diamond ni mshirikinaaaaa,rudiana na penseli wako muache wema.

    ReplyDelete
  6. Mama Wema kama mzazi anayo haki yakumkanya mwanae lakini sio kumdhalilisha Diamond. Wema na Diamond wanapendana , so mama waombe duwa wanao acha kumdhalilisha kwenye magazeti. Ivi wazazi wengine mkoje! Huoni kuwa unaji dhalilisha wewe na familia yako kwenye magazeti!? Ukiukaji wa maadili kwa watoto ni aibu kwa wazazi wake pia kutokana na malezi mabaya wewe mzazi uliyo mleya mwanao. So mama Wema please relax and muombe mema mwanao!

    ReplyDelete
  7. diamond hana hela kama yangu, huyu dogo ni amechoka tu na hizo dollar mbili mbili.

    ReplyDelete
  8. diamond hana hela kama yangu, huyu dogo ni amechoka tu na hizo dollar mbili mbili.

    ReplyDelete
  9. muvi yadomo inaendelea wema elewa Domo hatokupa pesa uchezee kama ulivyo chezea kwa clement domo anakutumia tuu maana wewe hujielewi Domo atakutomba na atakumwaga nakukuzalisha we we umeshabaki kua kiburudisho chamastaa mapedeshyee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwendraaaa hujui Clement ni mme Wa mtu mbona amuheshimu ndoa za watu?

      Delete
  10. huyo mama wema nae ni mshenzi tu kwa hyo alikua anaona ni vizuri mwanae atembee na clement ambae ni mume wa mtu?! au ndo na yy alikua anapata chake? wote malaya tu like mother like daughter

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kula tano mdau mama wema alikuwa anaponea kwa Clement mume Wa mtu.

      Delete
  11. kumbe b mkubwa anamuelewa clement kuliko domo..........

    ReplyDelete
    Replies
    1. Du wazazi wetu hawa balaa tena Clement ni mume Wa mtu,mama wema alikuwa karidjikaaa poleni,Domo Hana hela ya kumuhonga wema mtasubiriiiiii,

      Delete
  12. Penseli ridi kwa mwanaume wako huyo mnaendana,wema taffeta mwanaume Wa maana akakuoa utilie,we subiri move iendelee,na mbuzi umeshachinjiwa mama yako kasema.

    ReplyDelete
  13. acha muvi iendelee bhana

    ReplyDelete
  14. dah mapenzi ya bongo kama huna hela noma!

    ReplyDelete
  15. dah mapenzi ya bongo kama huna hela noma!

    ReplyDelete
  16. jamani wema hana akili 'hata moja hajielewi wala hajafanyiwa dawa ni upumbafu wake 2

    ReplyDelete
  17. huyo diamond anamtumia Wema ili auze muziki wake, kwasababu anajua alipokuwa na Penny karibia watu wasahau kama anaimba muziki au ni kitombi. Wema amechezea bahati yake kwangu na kamwe sitamsamehe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkeo hakutoshi?we ungekuwa mme wangu ningekupa sumu utokomeeee

      Delete
  18. JAmani amkeniiiiiiii kina dada diamond anawadhalilisha mbona amuelewiiiiiii,penny akiambiwa arudi Leo kwa Domo atarudi,wema nae duuuuuuu,haya acha movie iendeleeee.

    ReplyDelete
  19. Tatizo la watanzania wengi wao ni wapumbavu na wajinga kama wengi mlivyo humu mnashindwa kufanya yenu mnasikilza umbeya kisa mama wema kasema diamond kafukukia mbuzi cjui na nyie mmeichukua kama ilivyo we unaekaa kumponda diamond huyo mbuzi wakati anafukiwa uliona? Hata huyo mama wema mwenyewe kaambiwa na mtu haya ana uhakika gani kama ni kweli its just diamond anamheshimu mama wema tu isingekuwa hivyo ana uwezo wa kumpeleka mahakamani na kumfungulia kesi ya udhalilishaji na nyie msije mkakaa kuongea vtu ambavyo huna ushahidi navyo
    no evidence no right to talk coz u gonna talk shitts like how ur doing
    get your brains and think u dumb heads

    ReplyDelete
  20. Amjua mchawi naye mchawi. Kama mama w ameambiwa hy na akayaamini basi naye ni mshirikina pia

    ReplyDelete
  21. Sijaona cha maana kwani humu kilasiku ni habari za diamond na wema zinazo husu mapenzi tu nn maana yake tuleteeni habari zenye kueleweka bwn.

    ReplyDelete
  22. NACHOJUA MM KABILA LA WANYATURU NI MALAYA SANA NA HUWA WANAROGA WAUME ZAO..SASA HAPO CJUI WEMA KAKUTANA NA KISIKI CHA MPINGO?

    ReplyDelete
  23. majanga, ivi mama wema kushadadia Clementi na hali ni mme wa mtu, badala umshauri mwanao atafute wa kwake! na wewe mama ujatulia, unataka mali tu, make unavyosema Diomond kulalia kitanda cha mme mwingine unataka na diamond anunue kingine faida kwa mwanao. na mwanao kama alimheshimnu aliyemuweka mjini asinge rudi kwa diamond. na mwanao mwizi tu acha wamnyanganye mali. alidhurumu mali ya watoto na mke wa clementi.

    ReplyDelete
  24. mkisema mama Wema anafurahia mwanae kua na mume wa mtu inamaana kifo cha baba yake Wema hakikuwapa picha kamili mama yake nae aliwazaaje wakina Wema????Yule baba alikua mkristu anamke wake.. na alikua maisha safi!!! mama Wema aliwazaa akina wema akiwa ktk dini yake Islam inamaana alikua nyumba ndogo sio issue mwanae kua na Clement! hamkumbuki baba Wema alizikwa kikristu??

    ReplyDelete
  25. Huyu Mama naye na mtoto wake Wema wote akili zao si timamu. Nadhani wanatumia makanyagio kufikiri

    ReplyDelete
  26. yani huyo wema alitakiwa aitwe kuma la kamari

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad