MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK

VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’.

Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.

Akiuzungumzia ukaribu wake na Jux, Masogange alisema: “Wala hakuna lolote kati yangu na yeye. Mimi na wale akina Jux pamoja na dada yake ni watu wangu wa karibu sana tunaojuana muda mrefu hivyo tulikuwa  tunabadilishana mawazo tu.”

Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.
GPL

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani nyie ni wambea to the maximam,mungu awasaidie GPL

    ReplyDelete
  2. Wasipo umbeyuka unazani watakula wapi?

    ReplyDelete
  3. Jux na jack wameonekana china wanakula bata? Hilo bata lazima limeliwa gerezani au story ni ya kitambo.

    ReplyDelete
  4. Hilo domo la huyo jux..

    ReplyDelete
  5. Brazamen wa ivo mmhh hapo kanunaaaah au pozi tu Domo kama kitumbua cha uswahilin,,,, mabaro wapo ambao hata kuuza sura haawapendi

    ReplyDelete
  6. AGNES WHAT KIND OF SKIRT IS THAT?AU NDO UMEJALADIA BI DADA

    ReplyDelete
  7. masogange na jux mtandao 1.waachen wafarijiane

    ReplyDelete
  8. Eti uyo agnes nae star wakati alikua anatombwa na mateja kitambo akikosa ela ya kula kwetu sinza huku duu mi ataniwe na nyege vp au tubak mina yeye duniani simtombi ng'o bora puchu mamamamamamaeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. We muongooo!! Agnes kaumbika kike haswa, hakuna mwanaume rijali anatake kuwa nae asimtamani. Chuki mchukie ila haki yake mpee

      Delete
    2. hahahhahahahahaa si wanaume wanajifaragua tu hapa, nyoko nyoko nyingii wakati wanapigia nyeto

      Delete
    3. Wewe nae maimunaa,mdau hajasema kwamba masogange hana shepu ila kasema jinsi alivyokuwa analiwa uroda kiulainiiii na mateja,Kama akiwa Hana hela,

      Delete
    4. Mi ndo mana naogopa kuvua nguo yangu kwa kijana Wa kibongo wooote waathirika,utakuta wanaelewa demu fulani kalambwa na wanaume zaidi ya kumi,lakini wakiona mitako wanadata,poleni

      Delete
    5. Ndio maana nikasema muongooo Agnes hajaliwa na mateja yoyote! Wewe ndio maimuna, kuna tijali awe uchi ndani na Agnes ahofie kumtomba!!????Ndio maana nikasema ni uongooo! Lol

      Delete
  9. GPL kusema kweli ndio chanzo cha mabif na uongomvi wa hawa wasani na wa tu maarufu bongo ! Kama hiyo abari walivyo itengeneza , uwo wote nikutaka kuanzisha maugomvi na kashfa!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad