Na Imelda Mtema
VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu.
Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na mpenzi wake wa siku zote kuepuka uhasama.
“Sina tabia ya kushobokea kabisa waume za watu, bora niendelee na mtu wangu wa siku zote na kama tukishindwana basi bora nitafute mwingine lakini awe wangu peke yangu,” alisema Masogange.
Safi sana Masogange kwa msimamo huo.
ReplyDeleteIla na wewe Masogange ni mzuri sana kupita kiasi na uzuri wako utawavuta waume za watu kukutafuta wewe kwa udi na uvumba. Mtihani huo!
ReplyDeleteUniambii Kitu wewe pundaa Wa sembe!! Peleka hoja
ReplyDeleteZako kwa wabeba unga!! Stupid!!! Una jipya"
Watu wanabadilika wewe. Usijihesabie haki hata wew una makosa...
DeleteKwa kuvaa nguo za staha na kumrudia Mungu utawaepuka wanaume hata wawe na mabilion. Uzur una mwisho...
ReplyDeletebila wanaume zawatu utaishije hapa mjini nahao ndio wanaojua kuhonga kwahilo hujanidanganya bado labda kama hujaacha kuuza mchele a.k.a mapoud..
ReplyDeleteHuna lolote masogange na baraka unaetembea nae ni mume wa mnyama?jiangalie ww na njaa zako
ReplyDeletekwikwikwiiii...me no comment...
ReplyDeletebaada ya kukusanya mpunga wa kusafirisha unga aka sembe hutaki hela za waume wa watu
ReplyDelete